FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,246
- 123,145
Tatizo nini?unajitoa fahamu ?! Miungu yako waarabu unajifanya kutojua yanayowakuta ?!! Au ndio unadumisha "dini ya kinafiki ?!"
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tatizo nini?unajitoa fahamu ?! Miungu yako waarabu unajifanya kutojua yanayowakuta ?!! Au ndio unadumisha "dini ya kinafiki ?!"
Pole mkuu wanguunachokoza mkubwa wako halafu unategemea amani?
Haki gani gaidi ana haki gani?Sio sawa mkuu, akamatwe apewe haki yake kama ilivyo sheria ya vita
Huenda ni kweli, urefu wa handaki 500km sio mchezo, but ramani za handaki zimeonyeshwa kwenye uzi wa MK254 zinazunguka mlemle Gaza tu
[emoji23][emoji23][emoji23]mi nadhani Hamas wangekomaa tu na style yao hiyo hiyo ya kung'ang'ana kama pitbull [emoji240]
Kama viongozi wa hamas wanauwawa kama kuku lazima Israel itakuwa inajua mateka wake wapo wapi.
Kwa sababu Israel inapigana na nchi zote kiislam kupitia gaza. na lazima hao mateka watakuwa wamefichwa kwenye nchi moja wapo wa nchi za kiislam. Na ndio maana Israel alisema hii vita haitaishia gaza tu.
show anayopelekewa mpalestina sio ya karne hii...pale zitabaki hadithii
View attachment 2808375
Ndio mtu wa hii dini hata awe prof. lazima awe mjinga! Angalia mtu kama zittounamaanisha imani kama ya kina FaizaFoxy
View attachment 2808410
the religion of peace
View attachment 2808411
The religion of piece
View attachment 2808413
Mawakala mazuzu kwenye karakana ya ibilisi
Kama ambavyo watazaliwa IDF waliomuuaAtazaliwa mwengine mtaalamu kuliko Abu zinwa