JFK wabongo
JF-Expert Member
- Aug 11, 2015
- 3,887
- 3,197
OCCID wa nyakati hiziHuyu alikuwa Mkuu wa Upelelezi wa Wilaya(OC-CID)?? Alipitia Chuo cha Awali cha Polisi('Police Academy')? Alipitia Chuo cha Masomo ya Uongozi? Alijua miiko ya uvaaji wa Sare za Jeshi la Polisi? Idara ya Upelelezi iliruhusu au kubariki shughuli zake mitandaoni? Maswali ni mengi.. RIP.
Hivi wilaya inakuwa na Kamanda wa Police? Ufafanuzi taf.. R. I. P
Sent using Jamii Forums mobile app
Why mkuu???Jamani huyu kaka ameniumaa! Dah .
Nilikua nimemfahamu sio muda...alikua kama ana dini sana...yaan wema wanaondokaWhy mkuu???
Où êtes-vous vous exactement ?
Pole sana mkuu. Watu wanasema alikuwa mtu mwema, ni yeye na Mungu wake sasa.Nilikua nimemfahamu sio muda...alikua kama ana dini sana...yaan wema wanaondoka
Je suis ici en villeOù êtes-vous vous exactement ?
Alikuwa Mwana sana huyu jamaa, amekufa mdogo sana kwa utumishi wa jeshi la polisi...RIP kamandaNasikia jamaa ni moja ya askari ambao hawakuwa na nongwa kabisa, watenda haki!