Ngongo
Platinum Member
- Sep 20, 2008
- 20,654
- 35,887
Vita ya leo na kesho ni shule kubwa drone,sophisticated weapons ambazo zinahitaji shule si kuvunja matofali.Jeshi la tanzania ndo jeshi linaloongoza kwa ushamba kuliko majeshi yote duniani.
Tumekuwa tukiongeza idadi kubwa ya wapiganaji badala ya kuwekeza kwenye science & technology.
Makambi yanaongezwa pasipo kuangalia mahitaji halisi ya sasa na wakati ujao.
Tumeongeza idadi kubwa ya Generals ambao wengi wapo kisiasa zaidi.Hatuhitaji wapiganaji wengi na wapiganishaji wengi.