Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe Nikki wa Pili aanza kutekeleza majukumu

JoJo was Mistress mkuu, na enzi hzo show off zilikuwa zinalipa mno
Hata sasa hivi hizo show offs zinalipa.

Angalia hizo teuzi idadi ya watu kutokea kwenye media na showbiz. Ni wengi.

Huyo JoJo mwenyewe walimwengu wamekuwa wamekuwa wanampendekeza sana humu mitandaoni, kuwa ni mchapakazi kwamba kafanya wonders.

Sababu kubwa ni hizo camera na social media.
 
Kuteuliwa DC siku Moja kanenepa mashavu, hafu apunguze show off na makamera, hivi hawa ma DC huwa hawapewi hata seminar kidogo kabla ya kuanza, wasije fanya ya sabaya bure
Unataka waandishi wa habari wasifanye kazi yao ili uje kulalamika humu jf?
 
Nikki kashaniomba vitabu vya uchumi kusoma najua ni msomi wa uchumi kwa maana ya kwamba anafuatilia mambo ya uchumi kuyasoma, regardless ya kasoma kozi gani.
Kiranga bhana,

Hivi vitabu vya economics vinasomwa kama vitabu vya Erick Shigongo? Katika level aliyofikia na cheo chake cha u-DC atakiwa kutumia professionals waliopo huko Kisarawe ili atoe maamuzi sahihi badala kuhangaika na kusoma mavitabu ya economics. Cheo chake ni Cha hekima zaidi na si Cheo Cha kusoma soma mavitabu ili atoe maamuzi.
 
Ngoja nikujibu mkuu,maana nimeona mnabishana na jamaa tangu huko juu

Ktk hili Jambo ambalo ww unasema Nikki anatafuta 'misifa' kutembea na waandishi Ktk mambo yasiyo ya msingi,nakuomba Tu jiandae kisaikolojia kukereka zaidi..

Why ?
Kwa sababu kabla hajachaguliwa kwenye upande huu wa siasa jamaa Tyr ni celebrity na ana mashabiki na kila anachofanya kinauzika.Kwa hiyo Kwa sasa amekuwa mwanasiasa ndiyo ameongeza Wigo wa kufatiliwa,so mkuu usishangae makamera ktk mambo yasiyo ya msingi Kwa hawa wanasiasa wawili (Nikki&Jokate)

Hiyo ni kawaida duniani kote Kwa watu wa Aina hii pindi wakikabidhiwa madaraka kwenye sekta mbalimbali kubwa..kabla hawajafanya Jambo Tyr wao wenyewe ni habari.
 
Huyo nae ni Think-Tank wa MATAGA ! Aliwaambia watu Dubai ni nchi..

Mwenzie alisema Sadam Hussein alikua Rais wa Kuwait
 
Huyo unayemueleza ni kilaza wa mwisho kabisa, hakuna lolote analojua
 
Hii ilikiwa siku nyingi kabla ya uteuzi. Si baada ya uteuzi.

Na sioni kwa nini umeona habari za Shigongo zinahusika hapa.

Na sioni hekima inakosekanaje katika kusoma.

Mimi nafurahi kuona DC ambaye ana tabia ya kujisomea atapata cha kuongeza Kisarawe kama mfumo ukimruhusu.
 
Hizi promo mnazofikiria mnampa hapa JF zitamponza muda si Mrefu
 
Kuna kutembelea miradi na kuna kuzurura kwenye miradi, tofautisha hayo mambo mawili...
 
Mkuu cariha kuna kitu unatakiwa ukinotice Tu..si unaona huu Uzi unavyotembea? Unajua Kwa nn?

Kabla hamjamponda jamaa kwamba anatembea na makamera sijui,tambua kwamba yeye ni habari kabla hajafanya Jambo lolote..nakuhakikishia Countrywide angepost hii habari Kwamba mkuu wa wilaya mwingine yeyote ametembelea miradi km hivi,Uzi ungekuwa na reply chache..wabongo tujifunze Tu ku-appreciate mwenzetu akiwa na kitu Fulani cha ziada tofauti na sisi
 
Ngoja nikujibu mkuu,maana nimeona mnabishana na jamaa tangu huko juu

Ktk hili Jambo ambalo ww unasema Nikki anatafuta 'misifa' kutembea na waandishi Ktk mambo yasiyo ya msingi,nakuomba Tu jiandae
Wapi Nimesema hayo ? Unaweza ukaniqoute ?..., Nimesema kazi hizi mara nyingi zinafanyika behind the scenes sababu na macamera kibao hata huenda usipate majibu yenye tija kutokana na watu kuogopa makamera
Mambo yasiyo na msingi yanayohitaji Kamera yaendelee tu ila kuna ya msingi ambayo huenda hayahitaji kamera nayo yazingatiwe..., tena hapa huenda ndio mengi zaidi kwenye hii kazi....
Hiyo ni kawaida duniani kote Kwa watu wa Aina hii pindi wakikabidhiwa madaraka kwenye sekta mbalimbali kubwa..kabla hawajafanya Jambo Tyr wao wenyewe ni habari.
Habari sawa ila habari gani ya udaku au ya policy n.k. Trump alikuwa habari kila sekunde ila utija wa hizo habari its an argument for another day.... (kumbuka point hapa ni utekelezaji wa majukumu, sasa mtekelezaji akiwa ndio news zaidi ya utekelezaji wenyewe...) well that's politics kama nilivyosema kuanzia awali
 
Hii ilikiwa siku nyingi kabla ya uteuzi. Si baada ya uteuzi.

Mimi nafurahi kuona DC ambaye ana tabia ya kujisomea atapata cha kuongeeza Kisarawe kama mfumo ukimruhusu.
Nimekupata ndg yangu Kiranga kuhusu usomaji wa vitabu, Ila mashaurini ndg DC aachane na habari ya publicity ambazo hazina impact , anatakiwa kutumia watalam zaidi ya kujiaminisha Kwamba yeye anaweza bila wao, so baada ya kutembelea hio miradi what is next.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…