Basi huyo mtaka ni mjanja anafanya madudu kimya kimya na ana kuja public very clean na watu hawamjui madudu yake. Basi ni matured mno.Huyo mtaka anaheshimika kwa nani? Kulipa watu wamsifie? File lake la aliyofanya simiyu lipo asubiri muda muafaka
Sawa, kunya maji mengi sana alafu jipige kifuani sema "Mimi ni mjinga"Hapo naona ni uzururaji on the fleek......mtu anayetembelea miradi hakurupuki.
Kunywa maji alafu sema "Mimi ni mjinga"Siwezi umia Niki! Mama kakuamini fanya kazi. Hizi propaganda mwendazake ashaenda nazo, Muwe mnafikiri vizuri kabla ya kuandika....
Issue tu Mimi huwa ni watu kutembea na macamera as if ni utendaji hyo ya UDC Sina shida nayo, angekuwa DED tungempima implentation zake kwenye wilaya aliyopo.Kwa hiyo issue ni Nikki anatembea na makamera au issue ni cheo cha Ukuu wa Wilaya hakina tija?
Watu wanamjua, Ila wewe ndio humjui. Wewe sikuweki kwenye kundi la watuBasi huyo mtaka ni mjanja anafanya madudu kimya kimya na ana kuja public very clean na watu hawamjui madudu yake. Basi ni matured mno.
Wewe una cheo gani?Issue tu Mimi huwa ni watu kutembea na macamera as if ni utendaji hyo ya UDC Sina shida nayo, angekuwa DED tungempima implentation zake kwenye wilaya aliyopo.
Pia UDC naona ni cheo kisicho na tija twaweza kubaki na ma DED wilayani na DAs basi maana UDC yoyote anaweza kuwa.
Tayari nimekunywa maji mengi na nimeshajipiga kifuani, haya nasema "wewe ni mjinga"Sawa, kunya maji mengi sana alafu jipige kifuani sema "Mimi ni mjinga"
Mimi ni Raia wa kawaida tu, pia Uzi hauhusu cheo changuWewe una cheo gani?
Donald Rumsfeld alisema "You go to war with the army you have, not the army you want".Issue tu Mimi huwa ni watu kutembea na macamera as if ni utendaji hyo ya UDC Sina shida nayo, angekuwa DED tungempima implentation zake kwenye wilaya aliyopo.
Pia UDC naona ni cheo kisicho na tija twaweza kubaki na ma DED wilayani na DAs basi maana UDC yoyote anaweza kuwa.
Ur so emotional Sana na nyuzi ni wewe una leta, ka hutaki kuskia tofauti usiwe unaleta thread. Don't be emotional utazoea tu.Watu wanamjua, Ila wewe ndio humjui. Wewe sikuweki kwenye kundi la watu
What do you mean?!Donald Rumsfeld alisema "You go to war with the army you have, not the army you want".
Kwanza napenda ufahamu kuwa, uwazi haupo kwenye media ,uwazi upo kwenye vikao rasmi.Mtafute umuulize. Yeye ni public official.
Publicity unayoona haina impact wewe inaweza kuwa na impact kubwa kwa wengine.
Viongozi wana wajibu wa kuwapa wananchi taarifa wanafanya kazi gani.
Mimi naona tatizo kwa viongozi ambao wanajificha hatujui wanafanya nini.
Viongozi wanaofanya kazi kwa uwazi, hata wanapofanya vibaya, tunajua, kwa sababu wanafanya kazi kwa uwazi.
Nashangaa unapokemea uwazi.
Kiongozi anayefikia maamuzi kwenye vikao rasmi, halafu asiyatangaze kwenye media ni muwazi kuliko kiongozi anayefikia maamuzi kwenye vikao rasmi na kutangaza kwenye media?Kwanza napenda ufahamu kuwa, uwazi haupo kwenye media ,uwazi upo kwenye vikao rasmi.
Pili, kiongozi huwa hapimwi kwa kiasi gani ameonekana kwenye media isipokuwa amefanya nini, Kuna viongozi kibao wametumia media/ publicity wamepotea kwa sababu rating yao imeonesha media was just a show off na ni sehemu ya kujificha tu Ila huko ground hakuna kitu.
Mwisho, mwambieni Mh.NiK afanye kazi zaidi aachane na media za show off, yeye ana bahati tu Kwamba media zipo karibu Sana na Kisarawe Ila Kuna wenzake huko Namtumbo wanapiga kazi bila hata media na wananchi wanaridhika.
Na hii ndy ilikuwa hoja yangu cariha ..Hii hoja ni simple sn km mtu akiwa mwelewa kuhusu huyu anayejadiliwa hapa ni mtu wa Aina ganiInawezekana ma camera yanamfuata yeye na yeye hayafuati ma kamera.
Hapo utamlaumu pia?
Ndio ninayo, na huko twitter ndio mtu alijinasibisha kuwa Dubai ni nchiWewe unayo?
Kaabla ya kuwa DC alikuwa ni msanii mkubwa san na maarufu sana
Maeneo rasmi ya matangazo ya shughuli za viongozi wa ngazi ya DC ni kwenye mikutano ya Kijiji, kata, Baraza la madiwani na vikao vya kamati ya ulinzi na usalama vya wilaya husika.Kiongozi anayefikia maamuzi kwenye vikao rasmi, halafu asiyatangaze kwenye media ni muwazi kuliko kiongozi anayefikia maamuzi kwenye vikao rasmi na kutangaza kwenye media?
Kiongozi anayefanya mambo kwa usiri, bila kutangaza, utampimaje kafanya nini wakati hujui kafanya nini?
Aachwe afanye kazi ya kupiga picha?Hebu mwacheni dc afanye kazi yake
Mpeni muda ndiyo mje mjadili utendaji
Wake
Ova
Sijawahi kuwa emotional, karibu sana mimi ndio countrywide hakuna kitu nisichojua dunia ya leoUr so emotional Sana na nyuzi ni wewe una leta, ka hutaki kuskia tofauti usiwe unaleta thread. Don't be emotional utazoea tu.
Hebu prove kama unayo maana huwa sikuamini kabisaNdio ninayo, na huko twitter ndio mtu alijinasibisha kuwa Dubai ni nchi