Countrywide
JF-Expert Member
- Mar 2, 2015
- 20,694
- 32,527
- Thread starter
-
- #121
Kama hazikuhus jifunike shuka sister. Kama zinakuhusu tuendeleeSo what? Sasa Kama alikuwa msanii mkubwa Sana why amekubali kuwa DC mdogo Sana.
This is ridiculous
Maeneo rasmi ya matangazo ya shughuli za viongozi wa ngazi ya DC ni kwenye mikutano ya Kijiji, kata, Baraza la madiwani na vikao vya kamati ya ulinzi na usalama vya wilaya husika.
Kupitia Hayo maeneo Kuna watu ambao wanatuma taarifa za Siri katika ngazi za juu za serikali Kwamba huyu DC anafaa ama hafai.
Sasa habari za DC wa Kisarawe zinanihusu nini Mimi mkazi wa Kakonko huku Kigoma ? Kama sio show off?
Kwa upande wa Nikki, regardless ya mapungufu ya kimfumo uliyoyataja kuhusu cheo cha UDC, ambayo mimi nakubaliana nawe, yeye anafanya kazi katika mfumo kama ulivyo, kwa sababu hawezi kubadilisha mfumo mara moja.What do you mean?!
Wewe ndio unampiga?Aachwe afanye kazi ya kupiga picha?
Jifunze kuandika, nimesoma ila sijaelewaMkuu wa wilaya hana budget yoyote yuko kisiasa zaidi mkurugenzi ndio anasimamia mapato na madiwani wana msimamia mkurugenzi, Hichi cheo cha kisiasa zaidi. Watumishi wengi katika mkoa ambao wengi wanafanya kazi zilizofanana sana ila wakati ule wa zamani ilikuwa kisiasa zaidi sio utendaji. Leo tunaongelea ma DC kwa kuwa watu wanaochaguliwa walikuwa na maisha nje ya siasa lakini kuna ma DC karibia sijui 100 huko lakini hata siwajui kina nani. Kama manaibu waziri wa nini? kweli kuna wizara kubwa zinahitaji wasaidizi lakini wizara nyingi makatibu wakuu wanatosha kabisa. Huko Zanzibar kabisa haihitaji hata makamu wa Raisi lakini vyeo vinatolewa kifadhila na kisiasa halafu utasikia tubane matumizi. Ma Mayor ndio walitakiwa kufanya kazi zinazofanywa na ma DC nchini maana wamechaguliwa.
Yaani alichokifanya Niki ni sawa na mtu aliyekwenda beach kupiga picha .Katoka kuapishwa jana tu mzee
Ova
Umejuaje kama hajajitambulisha?Yaani alichokifanya Niki ni sawa na mtu aliyekwenda beach kupiga picha .
Alitakiwa afanye ziara ya kujitambulisha kwa halmashauri na atoe dira yake, then apange ratiba ya kutembelea vijiji akijitambulisha and huko ndio akague na miradi, sasa jamaa anakurupuka tu utadhania nyumbu wa CHADEMA.
Mshaurini ndg yenu vzr aache papara, huko aliko ni area nyingine kabisa na Wala si hip-hop.
Duh ina maana hajajitambulisha huko uzaramoniYaani alichokifanya Niki ni sawa na mtu aliyekwenda beach kupiga picha .
Alitakiwa afanye ziara ya kujitambulisha kwa halmashauri na atoe dira yake, then apange ratiba ya kutembelea vijiji akijitambulisha and huko ndio akague na miradi, sasa jamaa anakurupuka tu utadhania nyumbu wa CHADEMA.
Mshaurini ndg yenu vzr aache papara, huko aliko ni area nyingine kabisa na Wala si hip-hop.
Mkuu,So what? Sasa Kama alikuwa msanii mkubwa Sana why amekubali kuwa DC mdogo Sana.
This is ridiculous
Maeneo rasmi ya matangazo ya shughuli za viongozi wa ngazi ya DC ni kwenye mikutano ya Kijiji, kata, Baraza la madiwani na vikao vya kamati ya ulinzi na usalama vya wilaya husika.
Kupitia Hayo maeneo Kuna watu ambao wanatuma taarifa za Siri katika ngazi za juu za serikali Kwamba huyu DC anafaa ama hafai.
Sasa habari za DC wa Kisarawe zinanihusu nini Mimi mkazi wa Kakonko huku Kigoma ? Kama sio show off?
kama ni kutembelea tu, ni sawa. Ziara yake kuweza kuwa na impact ni jambo lingineAmetembelea miradi ya afya, ujezi, mazingira, maji na uwezeshaji wa vijana akiwa na siku moja tu kazini. Ni jambo kubwa sana
Hili ni Jambo la kuigwa, mkuu wa wilaya anapaswa kutembelea miradi na kutatua changamoto hapohapo.
Unataka impact gani?kama ni kutembelea tu, ni sawa. Ziara yake kuweza kuwa na impact ni jambo lingine
Nakubaliana na weweKwa upande wa Nikki, regardless ya mapungufu ya kimfumo uliyoyataja kuhusu cheo cha UDC, ambayo mimi nakubaliana nawe, yeye qnafanya kazi katika mfumo kama ulivyo, kwa sababu hawezi kubadilisha mfumo mara moja.
Kukianza vita, halafu wewe una gobole, unataka machine gun, itakubidi utumie gobole tu, kwa sababu ndiyo silaha uliyo nayo.
Nina hakika Nikki ana mengi anayotaka kubadilisha, lakini hana jinsi.
Tumeona hata huyu rais kafanya mabadiliko mengi sana ambayo hakuweza kufanya hata alivyokuwa makamu wa rais tu.
Cheo cha Ukuu wa Wilaya sijawahi kuona ulazima wake, ila, kwa kuwa kipo, watu wanaweza kukitumia kufanya kazi nzuri pia.
Inawezekana wewe ujifunze kusoma na kuelewaJifunze kuandika, nimesoma ila sijaelewa
unataka nikufundishe kutambua "impact" ya ziara ya mwenye mamlaka?Unataka impact gani?
Kuna wenye PhD na hawajaelimika. Huyu kiazi anajipa promo tu. Hata hicho kitabu alichomuomba Kiranga siyo lazima kiwe kimemsaidia. Anapenda tu madaraka(alishawahi kusema anataka kuwa rais),na pia naskia aliwaponda wenzake kuwa yeye ni rapper bora kwasababu kasoma. Kama yeye ndiye huyu Countrywide , nimemtoa maanani kabisa.Nikki ni msomaji msomaji tu kama alivyo Peter Msigwa.
Ni wazee wa Quotes. Sidhani kama wana eneo lolote la specialisation.
Nikki anaweza kuwa anahojiwa masuala ya Muziki yeye akaanza kutoa quotes za Mandela au Magufuli.
Hii itakuwa ndiyo id yake. Kama alivyozoea kuwaponda wasanii wenzake eti hawajasoma Kwahiyo yeye ndiye bora kuliko wao, ndivyo hivyo hivyo ana behave humu JF kama kijimalaya flani tu.Inawezekana wewe ujifunze kusoma na kuelewa
Weka picha na video za utambulisho hapa tuone?Umejuaje kama hajajitambulisha?
I have guessed same thing , Kwamba huyu Countrywide ndiye DC mwenyewe, hovyo zake.Kuna wenye PhD na hawajaelimika. Huyu kiazi anajipa promo tu. Hata hicho kitabu alichomuomba Kiranga siyo lazima kiwe kimemsaidia. Anapenda tu madaraka(alishawahi kusema anataka kuwa rais),na pia naskia aliwaponda wenzake kuwa yeye ni rapper bora kwasababu kasoma. Kama yeye ndiye huyu Countrywide , nimemtoa maanani kabisa.
Mkuu,
Mimi ni mdau wa Kisarawe. Pugu, Kazimzumbwi, Kinyanyiko, Minaki, Chanzige, Maneromango, Samvulachole, Masaki (original), kote kwetu huko. Sasa niko New York City.
Nafurahi kumuona DC wa Kisarawe akifanya kazi kupitia mitandao, napata habari za kazi zake mara moja. Anafanya kazi kwa "ushirikishwaji wa umma", si kwa kujifungia.
Wewe hujalazimishwa kufuatilia habari za Kisarawe wala kuchangia. Kama unaona hazikuhusu, zipotezee tu.
Kwani kuna mtu kakulazimisha kufuatilia na kuchangia habari hizi?
Kikubwa zaidi, DC namjua naweza kumtafuta mara moja nikamuambia hapo kuna mtu gani atakusaidia vipi, mtu gani muepuke, fulani mwizi, sokoni kuna mpango gani wa kuuangalia. Hospitali pale kuna upigaji gani.Nawajua watu wa pale kwa namna ambayo yeye itakuwa vigumu kuwajua mara moja.
Sasa hapo napo utalaumu DC kufanya kazi kwa uwazi mitandaoni ili hata watu wa Kisarawe tulio New York City na sisi tujue maendeleo ya kwetu na kusaidia
Ndg yangu Kiranga tangu umehitimu Tambaza umekuwa tofauti Sana, yaani upo New York unamuelekeza Jamaa wa Kisarawe amasaidie DC kutawala?Mkuu,
Mimi ni mdau wa Kisarawe. Pugu, Kazimzumbwi, Kinyanyiko, Minaki, Chanzige, Maneromango, Samvulachole, Masaki (original), kote kwetu huko. Sasa niko New York City.
Nafurahi kumuona DC wa Kisarawe akifanya kazi kupitia mitandao, napata habari za kazi zake mara moja. Anafanya kazi kwa "ushirikishwaji wa umma", si kwa kujifungia.
Wewe hujalazimishwa kufuatilia habari za Kisarawe wala kuchangia. Kama unaona hazikuhusu, zipotezee tu.
Kwani kuna mtu kakulazimisha kufuatilia na kuchangia habari hizi?
Kikubwa zaidi, DC namjua naweza kumtafuta mara moja nikamuambia hapo kuna mtu gani atakusaidia vipi, mtu gani muepuke, fulani mwizi, sokoni kuna mpango gani wa kuuangalia. Hospitali pale kuna upigaji gani.Nawajua watu wa pale kwa namna ambayo yeye itakuwa vigumu kuwajua mara moja.
Sasa hapo napo utalaumu DC kufanya kazi kwa uwazi mitandaoni ili hata watu wa Kisarawe tulio New York City na sisi tujue maendeleo ya kwetu na kusaidia?