sasa hao 26 uliwaokoa wewe ? wabongo ni watu wa ajab sana wakimilik smartphone na ukichaa unaanzia hapoPia liangalie la airhostess kuelekeza mlango ulipo wa dharura kisha kuufungua na bado ripoti inaeleza wahudumu wote wamepoteza maisha
Duh ziwa la wap hilo lina vumbi na udongo ? mbongo akimilik smartphone bas anakuwa kichaa ghafla nimekulia hapo ingawaje huyo dogo simjui maana sikuwa local class , ila naamin dogo hata kama hajafungua mlango ila kafanya kitu kuokoa roho 26 ungemuona wa maana kama mzaz au ndug yako angekuwa miongon hao manusura , Hajapewa shukran kwa kufungua mlango kapewa heshima kwa kuokoa robo 26Kwanza vumbi tu la udongo na maji yale ya Ziwani aliwezaje kuonana na Pilot? Ukizingatia tukio limetokea punde...
KIJANA MAJALIWA HANA TOFAUTI NA BABU WA LOLIONDONaomba kuuliza kwa wenye uelewa. Hivi mlango wa ndege unaweza kufunguliwa kwa nje? Wajuzi wa mambo ya ndege tafadhali.
Nilitaka nikujibu kwa kutumia lugha kali ila nimekustahiDuh ziwa la wap hilo lina vumbi na udongo ? mbongo akimilik smartphone bas anakuwa kichaa ghafla nimekulia hapo ingawaje huyo dogo simjui maana sikuwa local class , ila naamin dogo hata kama hajafungua mlango ila kafanya kitu kuokoa roho 26 ungemuona wa maana kama mzaz au ndug yako angekuwa miongon hao manusura , Hajapewa shukran kwa kufungua mlango kapewa heshima kwa kuokoa robo 26
Huyu kassim Majaliwa aliwahi kusema magufuli yuko ofisini anachapa kazi. Mlitaka atebee kariakoo au sijui wapi. Kumbe Jiwe yuko mortuary at -40C, Can that man be trusted again? Rubbish!Ile ajali ya ndege kule Bukoba inamtaja kijana Majaliwa kama ni shujaa kuliko taasisi zote za serikali zilizojishuhulisha na sakata lile.
Lakini najiuliza kama ni kweli majaliwa ndiye aliyefungua mlango wa ndege uliofungwa kwa ndani kwaajili ya usalama wa abiria ndege inapopaa, inapokuwa angani na hata inaposhuka, alitumia kifaa gani kufungua?
Ile ajali ya ndege kule Bukoba inamtaja kijana Majaliwa kama ni shujaa kuliko taasisi zote za serikali zilizojishuhulisha na sakata lile.
Lakini najiuliza kama ni kweli majaliwa ndiye aliyefungua mlango wa ndege uliofungwa kwa ndani kwaajili ya usalama wa abiria ndege inapopaa, inapokuwa angani na hata inaposhuka, alitumia kifaa gani kufungua?
hahahah dahKumbe Jiwe yuko mortuary at -40C
FeaturingAliweza kuufungua mlango wa mchongo kwa kutumia nguvu ya Script aliyopewa na ............. akishirikiana na ................. ili auongopee umma wa watanzania,
Mkuu umefatilia lakini kama inawezekana kuufungua mlango kwa nje???Ile ajali ya ndege kule Bukoba inamtaja kijana Majaliwa kama ni shujaa kuliko taasisi zote za serikali zilizojishuhulisha na sakata lile.
Lakini najiuliza kama ni kweli majaliwa ndiye aliyefungua mlango wa ndege uliofungwa kwa ndani kwaajili ya usalama wa abiria ndege inapopaa, inapokuwa angani na hata inaposhuka, alitumia kifaa gani kufungua?
Nani alipima hizo dakika tano katika hali ya ajali kama ile