Mliambiwa lakini hamkusikia, sasa ni muda wa mavuno ya awali ya kile tulichopanda

Pole sana ikifika Jioni ingia bar iliyo karibu nawe ukakate machungu huku mkeo akiwa wanampakaa mafuta

KATAA NDOA
PESA SIO SULUHISHO
PESA NI NGAO YA MWANAUME DHAIFU
UTAGONGEWA TU
NDOA NI UTAPELI
Shukrani mkuu ila sidhani Kama itasaidia kitu chochote, masikini mimi
 
Chifu hapo namba 5,nakupinga mpaka naingia kabulini
 
Mkuu Ni stori ndefu sana
 
Hii huwa nawaambia hujiulizi why ubunge unarudi kuomba kuchaguliwa ulipozaliwa
 
Pole sana aisee..Simuamini mwanamke mimi maisha yangu yote hii 13 tuko pamoja..japo sijawah kumkuta na mazonge ila hawa hawachelewi unaweza kuta analianzisha uzeeni unabaki unasha gaa..hawa viumbe hawa!!!!!
Mimi pia ni mwanachama wa kutokuwaamini wanawake hata 1% yalishanikuta makubwa.
 
Mzee hio stage nishaivuka kitambo saaana nipo stage nyingine kabisa ya uelewa, wewe endelea kugongewa
Zikabili changamoto zako binafsi mzee ,usiweke majumuisho ukataka kuona kana kwamba uliyokutana nayo wewe yanafanana na kwa wengine, kila mtu ana path yake ishi mzee acha uoga maisha ni ya kufurahia sio kuujaza moyo sumu na kuwajaza wengine sumu ya kuwa ndoa ni eneo la uwanja wa vita eneo hatarishi eneo lilojaa damu za vita eneo lisilo na amani mentality yako isiwe General,kila mmoja wetu ana case tofauti so usiwe na ubutu zaidi kuliko makali , sisi tunamakili ndiyo maana changamoto zako haziwezi fanana na zetu kamwe juu ya ndoa ukapandikiza mabaya tu,

mbona hata siku moja hamuongelei mazuri ya ndoa kizazi cha ajabu sana hichi kizazi lege lege
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…