Mliambiwa lakini hamkusikia, sasa ni muda wa mavuno ya awali ya kile tulichopanda

πŸ˜‚Uzi mzuri Sana amepiga mulemule alafu huwa sikataagi ukweli aisee hata km umenigusa poa tu πŸ˜€
Wewe hayajakukuta aisee bado wewe sio Muhanga 🀣 🀣 🀣 🀣
 
sophy27 , JF leo ni ya moto nazurura MMU kote sioni wakina Dada kabisa, Sijui kuna shida gani yaani
 
Ndugu mleta uzi nikwambie tuu, mambo ya kuchapiwa hayajaanza leo wala jana. Hata hao mababu wamechapiana sana tu. Tatizo lilopo siku hizi ni hii mitandao. Utandawazi tunasema. Ndio inafanya vitu vionekane vimeshika kasi sana, lakini kumbe hakuna kipya. Ni mitandao tuu inapush mambo yaonekane makubwa.
 
Nilichojifunza mwenye mapenzi usiwe serious Sana utafurahi Sana.

Yani mwanamke mchukulie kama chombo cha starehe ukimtaka mtafute usipomtaka Sawa. Jipende kabla ya kumpenda mwanamke. Hakikisha unakuwa mbinafsi Kwanza kabla ya kitu chochote kwenye mahusiano.

Wanaume wote waliojiua kwenye mahusiano na kuua wenzi wao ni wale waliokuwa wanawapenda Sana wake au wachumba zao. Suluhisho ni kutokupenda Kwa kupita kiasi utakuwa unajiepushia mambo mengi Sana Kama magonjwa na kuuana.

Wanaume wenzangu Jiependeni Jijalini.
 
Ongezeko la tabia ya kuchapiana ndicho kinachozungumziwa.
Hakuna tabia Mbaya Mpya ni kweli. Lakini hapa tunangumzia ongezeko kubwa la kutisha la tabia hiyo
 
Alafu Vijana wasema hakuna Wanawake wakuoa Wakati kina Sophy wapo hata kama mpo wachache.

Kuteleza sio kuanguka.
Kama kiizazi chetu tumeanguka sio sababu ya kushindwa kurekebisha ili kulinda Watoto na wajukuu wetu
Yaani Mwanamke mwenye staha unaweza ukamjua tu japo yupo kwenye Keyboard hatumuoni, Je ingekuwa anaonekana?
Miss sophy27 , Allah SW akupe Mume mwema sana
 
Ongezeko la tabia ya kuchapiana ndicho kinachozungumziwa.
Hakuna tabia Mbaya Mpya NI kweli. Lakini hapa tunangumzia ongezeko kubwa la kutisha la tabia hiyo
Mkuu watu wagumu kuelewa aisee πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Unaweza ukajiona mjanja na mtu usie shindwa jambo ila kumbuka utavuna mabuwa na mwisho utajinyonga kwa uchungu sana. Hakuna jambo halina majibu ktk dunia ya sasa hasa huu mchezo wakudandia wake za watu ni hatari sana.
 
 

Attachments

  • D0CE9D34-A039-417F-8B0D-9A6B41A2E6A1.jpeg
    25.6 KB · Views: 4
Si ndio hapo.
Hata Mungu Hana Mpango WA kuondoa uovu wote Duniani Ila anapunguza pale anapoona umezidi.πŸ˜€πŸ˜€
Mungu uovu hauondoi na atauacha uzidi kuongezeka ili baada aje kuukomesha kabisa
 

MKE Bora na Mwema lazima ajishughulishe kumsaidia mumewe kujenga familia. Hiyo ndio maana ya MKE.

Tafuta mwanaume anayejua Mume ni nini na MKE ni nini.
Tatizo wanaume wengi hawataki mfanye kazi Kutokana na hulka ya Wanawake wengi mkifanyakazi na Kupata miambili miatatu mnakuwa na vitabia vya kishenzi.
Hicho ndicho wanaume HATUTAKI
 
Mapenzi Ni pesa Nikki masanja wanagongewa tu

Kataa ndoa
Ndoa ni laanakumu
 
Unaweza ukajiona mjanja na mtu usie shindwa jambo ila kumbuka utavuna mabuwa na mwisho utajinyonga kwa uchungu sana. Hakuna jambo halina majibu ktk dunia ya sasa hasa huu mchezo wakudandia wake za watu ni hatari sana.
Wake za watu ni sumu sana, Kuna demu pale kitaa nilikuwa nimezoeana nae sana maana ni Mama Ntilie sometimes nilikuwa nakunywa supu au msosi wa mchana kama nipo around mitaa ile. Yule demu akawa amechukua mpaka namba akiivisha chakula lazima anipigie kuniuliza kama nakula, Basi mazoea ya kucheka, na kumnunulia kinywaji.

Mtoto ana trakooo na guu la haja yaani tamaa zilishaanza kuniingia halafu na Yeye alikuwa anaonekana kama ananielewa. Kuna siku nimeota ndoto Yeye mwenyewe kaniita Lodge nikaenda baada ya kuingia tu Mume wake na jamaa wengine watatu walikuwa nyuma ya mlango na Mume wake alikuwa Bafuni. Demu hakuongea chochote... Ile ndoto ilinipa tahadhari aisee na mazoea naye sitaki tena
 
Muhimu utafute kwaajili ya familia Yako na mumeo afahamu unachofanya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…