Mliambiwa lakini hamkusikia, sasa ni muda wa mavuno ya awali ya kile tulichopanda

Wee usiniambieπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Ndio nimeshakuambia sasa πŸ˜… πŸ˜… πŸ˜… , Tulia Bibie usiwe na papara Mwenye ubavu wake atakutafuta ili umpe ubavu wake mjenge Familia
 
kwani kugongewa ndo kukataa ndoa kugongewa ni lazima tugonge na tugongewe
hata dem wako kubali unagongewa
hata wazee wetu waligonga na waligongewa vizuri tu
so
KUBALI NDOA
KUBALI KUGONGEWA

KATAA NDOA
ILA HATA DEM WAKO UNAEMPENDA TUTAKUGONGEA
 
Ongezeko la tabia ya kuchapiana ndicho kinachozungumziwa.
Hakuna tabia Mbaya Mpya ni kweli. Lakini hapa tunangumzia ongezeko kubwa la kutisha la tabia hiyo
Linaonekana la kutisha sababu linaboostiwa na mitandao.
 
Ndio nimeshakuambia sasa πŸ˜… πŸ˜… πŸ˜… , Tulia Bibie usiwe na papara Mwenye ubavu wake atakutafuta ili umpe ubavu wake mjenge Familia
Amiin na iwe kheri inshallah πŸ™
 
Wanawake ambao hawajaolewa na wanatamani kuolewa kila siku kwa kukesha kwa manabii wakiona hizi nyuzi za kataa ndoa sjui Wana Hali gani uko maana vijana matukio yanayoendelea ya KUGONGEWA kila siku yanawakatisha tamaa[emoji1787][emoji1787]
 
Tafuta mwenye bikira, mwenzako atafute hela tuone fainali itakuwaje.
Ninachokubaliana na wewe ni kimoja tu kuwa mwanamke hatakiwi amzidi mwanaume kiuchumi. Akifikia tu nusu ya uchumi wa mwanaume ujue hamna ndoa hapo.
 
Tatizo Wanawake wengi wakitafuta ndio huwa mwanzo wa migogoro ya Ndoa.
Kutafuta Pesa kusiwe chanzo cha kutotimiza wajibu kama Mama ndani ya nyumba
Mwanamke anatakiwa asizid hata km anatafuta mume awe ndio msingi wa uchumi wa familia mke awe ni ziada
 
Mke yupo mkoa.
Dah wale tuu kama kaamua kuliwa
Ila ndoa inakanuni zake na ukijitahidi kuzofuata hayo mengine hayana nafasi.

Oa mke wa dini yako
Oa mke wa kabila lako
Oa mke anaekuheshimu

Oa mke unayempenda
vp ukimpenda single mother
 
Mwanamke anatakiwa asizid hata km anatafuta mume awe ndio msingi wa uchumi wa familia mke awe ni ziada

Familia isipojengwa Kwa upendo, umoja, ushirikiano, mipaka, na Haki.
Matokeo yake ndio haya.

Wapo wanaume wanawaonea wivu wake zao wakifanikiwa, licha ya wake kutoonyesha mabadiliko yoyote ya kitabia lakini mwanaume anajikuta anakosa Amani na kujiamini.
 
Mi mke Wangu tatizo katika list yako hapo ni kutomkuta bikra Na kabila tofauti ila nimekaotea kadogo sana under umri.kama kuliwa basis Mara mbili tu...nimeshakapa na ujauzito safi kabisa nakaendesha ninavyotaka
Umeacha kuoa kwenu kule unyaturuni singida ukaenda kuoa mmakonde kisa anakata uno??

Karakana wanakusalimia uje na huyo mmakonde wako
 
Aisee pole mkuu
 
Robert Heriel,
Inanilazimu kuandika haya machache.

Kwanza niwaambie Watanzania wenzangu

Huyu Robert Heriel is a bigoted mysogynist. Ni mbaguzi wa kimbari na ni mtia chuki kwa Wanawake.



Ipo siku. Mtasoma bandiko hili, lakini itakuwa too late. sumu zake, kama anavyoaashiria, zimewakumba wengi na kwa majivuno ameyakuwa hadharani kwa kificho cha porojo porojo kama kawaisa yake. Amini anachosema, anatumia fasihi na ni mbaya sana, na ina sumu.


nianze na sumu zako ambazo zimekuwa zikirudia rudia, hususani katika maudhui yako.....Kwan a a kabisa... ni hilo chini
Hizi habari za kuchapiwa, kuchapiana Wake na Wachumba

yakichanganya hapa Dunia itakuwa na tafrani.
Hapa juu naona unafurahia sumu zako...
na baada ya hapo Ukarudia tena hizo jumbe unazorudia rudia
Mwanamke hapaswi kumiliki uchumi.

msioe Wanawake wenye watoto

ni kosa la kimkakati kuingia ndoani na Single mother.

Msiwe na huruma Sana na Wanawake na msiwaamini.
Kwenye uzi huu, amekuwa akiwasuta vijana na Jamii nzima kwa ujumla, pamoja na kwamba ametaja rika fulani, haijalishi kwani hakuna mtu yeyote ambaye hawezi kutia macho kweye mada kama ilivyowakilishwa....

Mliambiwa lakini hamkusikia, sasa ni muda wa mavuno ya awali ya​

kile tulichopanda


Keyword: Tulichopanda?

Yeye na nani?

Nimejiuliza yeye na nani wamepanda na lini wamekuwa wakipanda? rejea juu kwenye jumbe zake zinazorudia rudia utagundua walicho kipanda! Kwani wapo wengi tu humu jamvini.

itaendelea...
 
Tuwe wakweli. Hivi unaoaje Mwanamke asiye bikira?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…