Mlikaa muda gani baada ya kuoana kabla ya kupata mtoto?

Umekuwa kuku wew 😂😂😂😂
Kuwa na utulivu mkuu, watu imetuchukua miaka 5 kupata mtoto,

On professional side, mkuu, kusema unachelewa kupata mtoto inabidi usubiri japo miaka miwili au mitatu,

Tafiti zinaonyesha, watu ambao hawana shida zozote za uzazi wakijamiina regularly kwa mwaka mzima, ni 80% tu ndio hupata ujauzito kwa mwaka wa kwanza, ila kufika mwaka wa tatu inakuwa 99%, so endelea kupiga uno mzee kwa utulivu
 
mimba ya nje nilipiga mzigo mara moja mtu akadaka mimba
 
Umekuwa kuku wew 😂😂😂😂
Kuwa na utulivu mkuu, watu imetuchukua miaka 5 kupata mtoto,

On professional side, mkuu, kusema unachelewa kupata mtoto inabidi usubiri japo miaka miwili au mitatu,

Tafiti zinaonyesha, watu ambao hawana shida zozote za uzazi wakijamiina regularly kwa mwaka mzima, ni 80% tu ndio hupata ujauzito kwa mwaka wa kwanza, ila kufika mwaka wa tatu inakuwa 99%, so endelea kupiga uno mzee kwa utulivu
ila nitafata ushauri mkuu
 
Mkuu kwani kinachokupa wasiwasi ni nini?Wewe ni Me/Ke?Kula Vizuri,Zoea Missionary Style.Piga mechi kuanzia mida ya usiku na Asubuhi...Enjoy the SEX and the BABY will come.
 
Back
Top Bottom