Mlikaa muda gani baada ya kuoana kabla ya kupata mtoto?

Usimtie mimba mkeo mapema furahieni maisha kwanza na mjuane na kuzoeana vizuri

Angalau mwaka mmoja wa ndoa bila mtoto ni muhimu sana

Akishazaa na kupata mtoto mwanamke hutengeneza bond kali sana na mtoto kuliko mume

Waume wengi huhisi wanadharauliwa na upendo umeshuka
Kazi yenyewe ya kulea inachosha uhuru unapungua,outings za mara kwa mara zinapungua,nakubaliana na wewe bora wakae hata mwaka.Shida ya vijana wa siku hizi unakuta washakaa sana kabla ya kuoana ko hamna jipya
 
haswaa
 
Usiwe na wasiwasi mkuu, mwenyezi mungu hutoa kwa wakati. Mimi nilipata mtoto wa kwanza nikiwa chuo mwaka wa mwisho, kwa bahati nzuri au mbaya wife (by that time she was my girlfriend tu) alijifungua kwa operation and during operation, dokta akagundua kuwa ana uvimbe kwenye mirija ya uzazi and she was lucky to conceive.

Akashauri ule uvimbe usitolewe mapema kwani atashindwa kutunza mimba ikitokea amepata tena ila tu atapata wakati mgumu ku conceive tena. It took us 4 years to have a second born alhamdulillah ( 1.5years of Active mating[emoji3]) and i know it will take time again for her to conceive again but by faith we move. All is well
 
Aisee hii comment ina nipa imani
 
Mayai yapo na yanapevuka. Tumefanya hadi procedure inaitwa IUI lakini hatukufanikiwa.
Naomba Mungu atutoe kwenye hili
Pia nafikili kufanya IVF which cost abt 10 tzs milions
Mkuu ulikumbuka kutubu kwa comment ulizomtembelea member mwenzetu marehemu Mpauko miaka 4 iliyopita?

Kuna muda Mungu hunyanyua matatizo yetu katika namna ya ajabu.
 
alimfanyaje
 
Back
Top Bottom