Mlikaa muda gani baada ya kuoana kabla ya kupata mtoto?

Mlikaa muda gani baada ya kuoana kabla ya kupata mtoto?

Attachments

  • IMG_0930.jpeg
    IMG_0930.jpeg
    335 KB · Views: 7
Hainaga kanuni mkuu, kuna walio pata uzazi hata kabla ya kuingia kwenye hiyo ndoa, na wapo walio fanikiwa baada ya kukaa miaka mingi wakiwa kwenye ndoa.
Minashauri endeleeni kupendana, mvumiliane na Mungu atawabariki
 
Kipimo kinauma hiki...

Nina miaka 4 ya ndoa yangu, sijapata mtoto, stress nilipitia ila uzuri mume na wakwe na wifi zangu wananitia moyo.

Mwanzo nilijipa stress sana, ila zikapoa ila Kuna wakati zinarudi...

Hakika kama kuna kitu nilipima nikaumwa na kulazwa emergency ni hiki kipimo cha mirija yaani balaa lake ni hatare...

Jamani usiombe, hadi damu inatoka, alafu majibu yanakuja yanasema upo sawa.

Mungu unikumbuke na wote ambao wanapitia hili la kuchelewa kupata mtoto.

+255 759 296 625 dokta said mtafute nimeonaa wengi wanatoa shuhuda zake, hata mimi kuna jambo langu lilifanikiwa kupitia huyo cha msingi ni imani tu
 
Back
Top Bottom