Mlikaa muda gani baada ya kuoana kabla ya kupata mtoto?

Pole sanaa mkuu.. Mtoto ni zawadi toka kwa Mungu, lakini kwaupande wako naona bado mapema sanaa.. umepoteza matumaini mapema mnoo.., miezi miwili michache sanaa.. But usiiwekee akilini hiyo ishu itakupa stress.. Binafsi nilipata stress hadi nilidhoofu yan lakn now nimesahau nachukulia kawaida...
Mimi ninavyoandika uzi huu, nina miaka mitatu sijafanikiwa kupata mtoto.. show napiga frsh tena show moto.. lakini wife hashiki ujauzuto na wife katumia dawa nyingi sanaa... miti shamba,za hospitali,kwa mitume na manabii ishu bado imekua ngumu..
Nikaamua hadi mimi nikapime kucheki sperm kama zinashida, wife nikampeleka hosptali nyingi sanaa Dar, mbeya,Njombe n.k kwa specialists wa akina mama lakini holaa..
Baada ya hapo nilijipa muda wa kuangalia hali hiyo(.....Yrs) ikishindikana inatakiwa nifanye plan B ili tu nipate mtoto hata nje ya ndoa( ila sijapenda kufanya ivoo) inanibidi nichukue maamuzi magumu tu coz umri unaenda mkuu..
Nilipitia hali ngumu sanaa mwaka jana.. yani nilitamani hata ni badili dini, walau nipate jiko lingne kihalali lkn nafsi ili goma, nilitamani ni wife nimuachie kila kitu biashara mbili na mali zote za home lkn nafsi ilikataa, n.k but nimevumila had now, najipa moyo naamini nitafanikiwa. But nimejipa muda wa kuvumilia coz kuvumilia na kupoteza muda vinafanana but undani wake ni tofauti.
Kama kunamtu wakunishauri namkaribisha pia, bado napokea ushauri kwenu wadau wangu..
 
Pole sanaa mkuu.. Mtoto ni zawadi toka kwa Mungu, lakini kwaupande wako naona bado mapema sanaa.. umepoteza matumaini mapema mnoo.., miezi miwili michache sanaa.. But usiiwekee akilini hiyo ishu itakupa stress.. Binafsi nilipata stress hadi nilidhoofu yan lakn now nimesahau nachukulia kawaida...
Mimi ninavyoandika uzi huu, nina miaka watatu sijafanikiwa kupata mtoto.. show napiga frsh tena show moto.. lakini wife hashiki ujauzuto na wife katumia dawa nyingi sanaa... miti shamba,za hospitali,kwa mitume na manabii ishu bado imekua ngumu..
Nikaamua hadi mimi nikapime kucheki sperm kama zinashida, wife nikampeleka hosptali nyingi sanaa Dar, mbeya,Njombe n.k kwa specialists wa akina mama lakini holaa..
Baada ya hapo nilijipa muda wa kuangalia hali hiyo(.....Yrs) ikishindikana inatakiwa nifanye plan B ili tu nipate mtoto hata nje ya ndoa( ila sijapenda kufanya ivoo) inanibidi nichukue maamuzi magumu tu coz umri unaenda mkuu..
Nilipitia hali ngumu sanaa mwaka jana.. yani nilitamani hata ni badili dini, walau nipate jiko lingne kihalali lkn nafsi ili goma, nilitamani ni wife nimuachie kila kitu biashara mbili na mali zote za home lkn nafsi ilikataa, n.k but nimevumila had now, najipa moyo naamini nitafanikiwa. But nimejipa muda wa kuvumilia coz kuvumilia na kupoteza muda vinafanana but undani wake ni tofauti.
Kama kunamtu wakunishauri namkaribisha pia, bado napokea ushauri kwenu wadau wangu..
Mungu akufanyie wepesi jamani
 
Mkuu kwa mwezi Mwanmke anatoa yai (ovum) mara moja tuu.

Kwa miezi miwili inamaana mkeo ovaries zake zimetoa mayai mawili tuu.

Kwahy ukiona hapo utagundua ni mayai mawili tuu ndio yamepita bila kurutubishwa.

Endelea kula vzr, fuatilia mzunguko wake, ukigundua siku za ovulation piga kwenye mshono.
 
Back
Top Bottom