Mlikaa muda gani baada ya kuoana kabla ya kupata mtoto?

Miaka 3 bila bila , kekele zikaanza chinichini mke hazai!Mungu akashusha Baraka zake ,Ile dogo anafunga tuu mwaka ..mimba ya 2 ,,,Ile dogo nae anafunga mwaka mimba ya 3!!kelele zikaanza tena mke anazaa kama nyau[emoji1]!baasi nikaamua kuishia hapo madogo wamekua naenjoy tuu sasa!
 
Baada ya kuona sister yangu nnaemfata akichoropoa mimba kama mbili hivi na mimi kipindi hiko msuli wa Biology umekolea nikajisemea ntatembea na principles 2 tu maishani mwangu.

Mosi kama mwanamke ntaekutana nae kipindi niko tayari kuoa ni bikira nitaoa huyo bila assurance ya mtoto.

Pili, kama mwanamke nnaetaka kuoa kipindi niko tayari kuoa sio bikra, nitahakikisha namzalisha kwanza ndio nitamuoa.

Lucky enough mwanamke niliyempata akawa amekulia kwenye maadili mema nikaitoa bikra siku 2 nikaja kumuoa bila kumpa mimba na nikapata watoto wawili pamoja nae, 9 years now tunalea two kids.

Kama hukufata hizo principles zangu mimi tegemea lolote, wanatoa sana mimba hawa viumbe
 
kweli kila hatua pana changamoto.
i naona fresh tu labda mkae miaka mi3 mi5
hio haraka ni matokeo ya kushiba au hamna changamoto zingine
 
Wakati wa Bwana ndiyo wakati sahihi
 
πŸ˜ƒπŸ˜ƒ binadamu hatukosi cha kuongea,hongera sana , nimependa huo mpishano wa mwaka 1, 1 nimepanga hivo pia Mungu akinisaidia, miaka 3 watoto 3 nibaki kulea tuπŸ˜ƒπŸ˜ƒ
 
Vi
Je katika zunguka kwa madaktari wife hana tatizo la uzazi?

Kama hana tatizo tumia mitishamba kuna mizizi naifahamu huwa haicheleweshi kabisa endapo tu vizazi vipo
Vizazi vipo mkuu.. mitishamba nimetumia mingi sanaa sijajua ww unao wa ainagani?
 
D
Vi

Vizazi vipo mkuu.. mitishamba nimetumia mingi sanaa sijajua ww unao wa ainagani?
Duh Pole ipo huko kanda ya ziwa jina lake ni la asili, kama utahitaji utanipm ili tuitafute nayo uijaribu
 
Asante sanaa mkuu kwanifariji.. naimani ntapata.. thamani ya kitu huwezi kuuiona kama unacho.. usipokuwa nacho utaona thamani yake...
Ninauwezo wakuzaa nje ya ndoa lakni najipa moyo mke wangu ata pata tu..
 
Ninawashangaa wanao sema miezi 2 ni michache,miezi 2 ni mingi kwa wanandoa wasio kuwa na shida.kuwa mwangalifu kati ya wanawake 5 ,watatu wana shida ya uzazi now days.
Brother ukisema miezi miwili mingii unakosea.. Unapo kuwa kwnyendoa huwez jua kama mke/mme anachangamoto hizo. But nisiandike sanaa hapa.. ila omba tu yasikukute au yasimkute mtu wako wa karibu n.k
kwenye mfumo wa maisha, stage yakuwa na familia ni muhimu sanaa ili nawew utengeneze waisha ya vizazi vyako.. coz unatufuta pesa, unapata mshahara for what kam huna watoto wa kuwahudumia...
Kama umebahatika mapema nikwa uwezo wa Mungu bro.. usiji proud usije uka kufuru.
 
Miezi miwili si bado mko honey moon kabisa!! Hebu tulizana huko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…