Mama Sabrina
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 16,620
- 27,589
Jf
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ahsanteee kwa baraka zako[emoji3] [emoji3] [emoji3] , hongereni bana mfikie lengo zuri sasa, La kuwa nwili mmojaaa
Mkuu story tamu fanya kuimaliziaChuo alinielewa mwenyewe akatafuta namba yangu kwa washkaji flani ambao alikua anaona tupo Karibu wanasoma kozi moja!
Nikakuta ghafla napigiwa simu mi flani tumesoma wote o'level na alikua ameshatafuta information zangu zote nkakwambia simkumbuki kumbe ilikua gia ya kuchek ntampokeaje!
Baada ya kumwambia simkumbuki nkawa namuomba anikumbushe akaniambia kama nimemsahau basi akakata simu......
Badae akanitumia text km mi ni fulani akanielekeza alivyo na mara nyingi huwa ananiona wapi na tumeshawahi gongana macho sehemu gani!
Story ni ndefu........
Sijui hata nilimkosea nini mpaka leo sijui yuko wapi ila nadhan anafamilia yake
Mimi mke wangu for the first time tulikutana bankWewe na mpenzi wako katika kuanzisha mahusiano yenu ya kimapenzi.
Je, at the first day mlimeet mahala gani?
Hamna by then tulikua dada na kaka ktk bwana 😀 😀 😀Hahaaa, naufahamu vzr, ulivutiwa na sauti yake kwenye kwaya eeh, hongerenii sana miye mchumba wangu Wa enzi za ukwata hata sijui yuko wapi[emoji2] [emoji2]
Soon utakutana naeNgoja nisubscribe huu Uzi..nikishakutana nae nitakuja kuandika
sie tumekulia mtaa mmoja so tumecheza kombolela pa1, tumepka ugali mchangan pamoja, michezo ya baba na mama shule ya primary na secondary i-iv pamojaWewe na mpenzi wako katika kuanzisha mahusiano yenu ya kimapenzi.
Je, at the first day mlimeet mahala gani?
umemsifia xn aisee,She is my neighbor "a little far from home"
Nilimfundisha hesabu alipo kua form 2 hapo mimi nimemaliza form 4.
Kamaliza form 6 tukaanza ku date rasmi till now.
Mama Zetu ni marafiki sana toka kitambo
Nakumbuka siku moja Mama aliwahi nitamkia "ingekua ni zile Zama zetu za kuchaguliwa mke ningependa uje uoe kwa flani 'kwao uyo binti', ila mwanangu najua wakati bado ila Muangalie binti wa kwa flani napendezwa nae hata ukianza nae urafiki sio mbaya miaka minne mi tano sio mbali " .
Kimoyoni nikajisemea mother ungejua.
Ila sasa nahis Mama anafaham japo hana uwakika.
Kati ya wanaume wenye binti mrembo basi nami ni mmoja wapo, she is beautiful very beautiful she is smart too.
Mungu mlinde mrembo wangu.
Wewe na mpenzi wako katika kuanzisha mahusiano yenu ya kimapenzi.
Je, at the first day mlimeet mahala gani?
Check pm nimekutumia mkuu [emoji1783]umemsifia xn aisee,
ntumie no ake nmpe hongera ake