Kindeena
JF-Expert Member
- Sep 27, 2017
- 11,462
- 21,124
Roho mbaya tu imekujaa. Hilo halihusiani na huyo WaziriKuna mtu kibarua kinaenda kuota nyasi
Alidanganya watanzania kule musoma akasema samaki walikufa kwasababu ya matope,
Akaponea chupu chupu kwenye uwekezaji wa ziwa babati,
Kwenye hili la kilimanjaro kuteketea kwa moto sijui kama atatoboa.