Mlima Kilimanjaro unawaka tena moto usiku huu ikiwa ni mara ya tatu kwa mwezi Oktoba 2022

Mlima Kilimanjaro unawaka tena moto usiku huu ikiwa ni mara ya tatu kwa mwezi Oktoba 2022

Kuna mtu kibarua kinaenda kuota nyasi
Alidanganya watanzania kule musoma akasema samaki walikufa kwasababu ya matope,
Akaponea chupu chupu kwenye uwekezaji wa ziwa babati,
Kwenye hili la kilimanjaro kuteketea kwa moto sijui kama atatoboa.
Roho mbaya tu imekujaa. Hilo halihusiani na huyo Waziri
 
Jua kutofautisha Volcano na moto wa kawaida..huo ni moto wa kawaida na wala sio Lava
Sasa nitatofautishaje wakayi siko mlimani? Mimi nimejaribu kuwaza tu. Mlimani tunaambiwa ni barafu tu sasa moto unawaka kwenye kuni zipi?
 
"Disaster readiness" yetu ya kifala sana bongo hii. Huu mlima utaisha wakichukulia poa huu moto wawaulize Amazon.
Wataishia kuunda tume ya mamilioni wanashindwa kuweka "alarming systems" kwenye mlima unaoingiza pesa kibao mpaka waone moto kwa macho kutokea Marangu ndo wajue kunawaka.
 
SIO UTANI MOTO UNAKARIBU WIKI UNAWAKA ILA LEO UMEKUA MKUBWA SANA
Uwake tu hakuna shida wenye mradi wao watauzima wakiushindwa basi acha mlima ugeuke majivu tu, au kuna watu wanaungua?
 
Back
Top Bottom