Shambaboy jogoli
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 1,223
- 1,627
Hizo hela za mlimani city kila siku si wangejenga ofisi na ukumbi was kisasa? Mwaka huu kura hatuwapi ng'oo ili wasiendelee kutapanya kodi zetu tu!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hizo hela za mlimani city kila siku si wangejenga ofisi na ukumbi was kisasa? Mwaka huu kura hatuwapi ng'oo ili wasiendelee kutapanya kodi zetu tu!
Buku 7Hii dunia ina vituko na vichekesho sana sana
Kwa mtu smart kichwani huwezi poteza muda wako kwenda kupiga kura wakati mshindi anajulikana
Mlishaambiwa itatumika kitu inaitwa "SHIKWAMBI" yaani Shinda kwa mbinu iwe mvua au jua
Wewe mleta uzi huoni Flyover, Stiglers gorge, Lami kila kona mpaka huko Lupaso na Nanjilinji
Ulishaambiwa Mzee Mwinyi anashangaa leo hii kila mtu ana vaa viatu mambo ya uchumi wa kati haya
Mwezi huu wa saba wafanyakazi wote wa serikali na private mmeongezewa elfu hamsini kwenye mishahara yenu
Rais Magufuli ameongeza mishahara sekta zote
Magufuli Baba kwa busara zako na hekima kanyaga twende
Leo hii Tanzania watu mnavaa viatu, Unajua kabla ya Rais Mwinyi kulikuwa hakuna mitumba
Magufuli Baba
Kwa hekima zako
Na busara zako Baba maendeleo tunayaona
Kanyaga twende Baba hakuna breki hapa tupo tambarare mambo yamenyooka na safi, kanyaga Baba
Mshindi anajulikana watu mnapoteza pesa Mlimani city hivi hamkusoma mambo ya Forecast au probability au hata kuona hamuoni
Naona akili zimeanza kukurudiaWajumbe msituangushe mleteni Lissu tu
Kaka ,Uchumi unajiendesha wenyewe kwa nguvu za uhitaji na upatikanaji yaani Forces of Demand and SupplyMagufuli hajaongeza mshahara wa watumishi , amepunguza kiwango cha kodi tena baada ya Maji kumfika shingoni mwaka huu mwezi wa Saba. Unafikiri watumishi ni wajinga kulaghaiwa sasaivi wakati miaka 4 amewatelekeza.
Sikiliza nikwambie ndugu. Mjerumani alijenga miundombinu, mwingereza alijenga, Mkapa na Kimwete walijenga so kwa hivyo tena vidogo sana vya magufuli haviwambumbazi watanzania.
Hakuna mtu atakayeenda enda kumpa miaka mingine mitano mtu aliyeharibu uchumi wa nchi vibaya kama Magufuli, Watu hawana ajira maelfu mitaani kwa kuharibu kwake sekta binafsi. Biashara kubwa zimekufa sasa anataka kuifanya nchi nzima ya wachuuzi.
Ameharibu biashara ya mazao kama mahindi, korosho na mbaazi kwa kukurupuka kwake.
Bei ya Sukari imepanda toka 1800 hadi 2500 kwa kauli zake tu za kukurupuka alafu apewe tena miaka 5 ??? Hapana!!!
Kajipangeni upya na propaganda zenu uchwara hizo!
Hamuwapi wewe na nani? Jisemee mwenyewe mjinga wewe!Hizo hela za mlimani city kila siku si wangejenga ofisi na ukumbi was kisasa? Mwaka huu kura hatuwapi ng'oo ili wasiendelee kutapanya kodi zetu tu!
Nyuzi za kusifu na kuabudu zipo nyingi mno , nenda huko ukachangie , angekuwa hivyo angeteka wanaompinga ?Kiongozi lazima mkubaliane na uhalisia hakuna kiongozi mzuri asilimia mia 100
Kuna mambo Magufuli ameyafanya vizuri sana sana zaidi ya asilimia mia moja mfano
Watu kuwa na nidhamu maofisini
Watu kuheshimu Raia wa kawaida hasa kwenye huduma za jamii mfano mahospitali na kwenye ofisi za serikali
Watu kumuona kila mtu ni nyoka ofisini na mtu hatari pale anapokuletea dili la kupiga pesa,Leo hii kila mtu anaogopa madeal hujui nyoka ni nani
Tabia za uvivu na uzembe kwisha habari yake
Ulishaambia na kikwete,Mlitaka mabadiliko dawa ni kuleta mtu mkali na anatema cheche
Mapungufu ya Magufuli ni madogo sana
Moja ,Hataki kelele za watu kumsema na kumjadili jadili hovyo
Pili,Akiamua kufanya kitu anasimamia anachokiamini kiwe kitaharibu au hapana ,Yeye hapendi ushauri tofauti
Yote,Magufuli busara zake na hekima tunaziona leo maendeleo yanaonekana
Kanyaga twende Magufuli
Kwa hekima zake Magufuli,na Busara zake maendeleo tunayaonaHamna Pimbi kama wewe duniani,
Leta ushahidiNyuzi za kusifu na kuabudu zipo nyingi mno , nenda huko ukachangie , angekuwa hivyo angeteka wanaompinga ?
mkuu mm sikuona 50k mm niliona 25Hii dunia ina vituko na vichekesho sana sana
Kwa mtu smart kichwani huwezi poteza muda wako kwenda kupiga kura wakati mshindi anajulikana
Mlishaambiwa itatumika kitu inaitwa "SHIKWAMBI" yaani Shinda kwa mbinu iwe mvua au jua
Wewe mleta uzi huoni Flyover, Stiglers gorge, Lami kila kona mpaka huko Lupaso na Nanjilinji
Ulishaambiwa Mzee Mwinyi anashangaa leo hii kila mtu ana vaa viatu mambo ya uchumi wa kati haya
Mwezi huu wa saba wafanyakazi wote wa serikali na private mmeongezewa elfu hamsini kwenye mishahara yenu
Rais Magufuli ameongeza mishahara sekta zote
Magufuli Baba kwa busara zako na hekima kanyaga twende
Leo hii Tanzania watu mnavaa viatu, Unajua kabla ya Rais Mwinyi kulikuwa hakuna mitumba
Magufuli Baba
Kwa hekima zako
Na busara zako Baba maendeleo tunayaona
Kanyaga twende Baba hakuna breki hapa tupo tambarare mambo yamenyooka na safi, kanyaga Baba
Mshindi anajulikana watu mnapoteza pesa Mlimani city hivi hamkusoma mambo ya Forecast au probability au hata kuona hamuoni
Mimi wakitaka niwape wamlete lissu tu kama mgombeaHizo hela za mlimani city kila siku si wangejenga ofisi na ukumbi was kisasa? Mwaka huu kura hatuwapi ng'oo ili wasiendelee kutapanya kodi zetu tu!
Unataka kikao cha kamati kuu kiwe live? Lini CCM wamewahi kufanya hivyo? Hiyo picha ya juu pekee ndiyo halisi ila hizo nyingine ni zile za kipindi cha uchaguzi wa chamani. Jiongeze! Baraza kuu kesho tutakuwa live pamoja na mkutano mkuu kesho kutwa.Chadema naona mumewagomea hata waandishi wa online kurusha live mikutano yenu Kama CCM
Hata wenyewe mumeshindwa ku stream Live!!! Chadema Sasa kweli.mko hoi .Hata Chadema live yenu online wenyewe iwe Twitter , Facebook, YouTube etc mumeshindwa kurusha live!!!
Unatuletea picha ya 2015 eti ndio tuangalie !!!
Mkutano wa Live utauona tu. Tulia chama tawala kitarajiwa kipo kwenye mikakati mizitoChadema naona mumewagomea hata waandishi wa online kurusha live mikutano yenu Kama CCM
Hata wenyewe mumeshindwa ku stream Live!!! Chadema Sasa kweli.mko hoi .Hata Chadema live yenu online wenyewe iwe Twitter , Facebook, YouTube etc mumeshindwa kurusha live!!!
Unatuletea picha ya 2015 eti ndio tuangalie !!!
Kama ina uma chomoaHii dunia ina vituko na vichekesho sana sana
Kwa mtu smart kichwani huwezi poteza muda wako kwenda kupiga kura wakati mshindi anajulikana
Mlishaambiwa itatumika kitu inaitwa "SHIKWAMBI" yaani Shinda kwa mbinu iwe mvua au jua
Wewe mleta uzi huoni Flyover, Stiglers gorge, Lami kila kona mpaka huko Lupaso na Nanjilinji
Ulishaambiwa Mzee Mwinyi anashangaa leo hii kila mtu ana vaa viatu mambo ya uchumi wa kati haya
Mwezi huu wa saba wafanyakazi wote wa serikali na private mmeongezewa elfu hamsini kwenye mishahara yenu
Rais Magufuli ameongeza mishahara sekta zote
Magufuli Baba kwa busara zako na hekima kanyaga twende
Leo hii Tanzania watu mnavaa viatu, Unajua kabla ya Rais Mwinyi kulikuwa hakuna mitumba
Magufuli Baba
Kwa hekima zako
Na busara zako Baba maendeleo tunayaona
Kanyaga twende Baba hakuna breki hapa tupo tambarare mambo yamenyooka na safi, kanyaga Baba
Mshindi anajulikana watu mnapoteza pesa Mlimani city hivi hamkusoma mambo ya Forecast au probability au hata kuona hamuoni
Mbona mnajamba kabla hamjajambishwa, mnaogopa nini kama kila kitu mmefanya?Hii dunia ina vituko na vichekesho sana sana
Kwa mtu smart kichwani huwezi poteza muda wako kwenda kupiga kura wakati mshindi anajulikana
Mlishaambiwa itatumika kitu inaitwa "SHIKWAMBI" yaani Shinda kwa mbinu iwe mvua au jua
Wewe mleta uzi huoni Flyover, Stiglers gorge, Lami kila kona mpaka huko Lupaso na Nanjilinji
Ulishaambiwa Mzee Mwinyi anashangaa leo hii kila mtu ana vaa viatu mambo ya uchumi wa kati haya
Mwezi huu wa saba wafanyakazi wote wa serikali na private mmeongezewa elfu hamsini kwenye mishahara yenu
Rais Magufuli ameongeza mishahara sekta zote
Magufuli Baba kwa busara zako na hekima kanyaga twende
Leo hii Tanzania watu mnavaa viatu, Unajua kabla ya Rais Mwinyi kulikuwa hakuna mitumba
Magufuli Baba
Kwa hekima zako
Na busara zako Baba maendeleo tunayaona
Kanyaga twende Baba hakuna breki hapa tupo tambarare mambo yamenyooka na safi, kanyaga Baba
Mshindi anajulikana watu mnapoteza pesa Mlimani city hivi hamkusoma mambo ya Forecast au probability au hata kuona hamuoni
Ndivyo Magufuli alivyowafundisha kuongea?