Slim5
JF-Expert Member
- Jan 7, 2014
- 28,203
- 37,906
Wengine hawa hapa nao hawajaogopa Corona!
Hawaogopi Corona hawa watu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawaogopi Corona hawa watu?
Chama kinapendeza na kuleta natumaini makubwa.
PatheticKwa Hiyo hayo yanayoendelea kamati kuu Ni Siri Sio? Siri kwenye jengo la kupanga? ha ha ha ha mbavu zangu Mimi.Tuliwaambia mjenge majengo yenu hamkutuelewa mkatuita majina yote ohh mataga ,book 7 nk Asante endeleleeni na kikao chenu Cha kinachoitwa Cha Siri kwenye jengo.la ukumbi wa kupanga!!!
Kila mtu ana malengo yake mkuu, sijaona kama kutoongezwa mishahara kama ni big deal, isitoshe nimechunguza wafanyakazi wengi nimegundua maisha wameyamudu vizuri kabisa.Inachagua miaka mingine mitano ya ukandamizaji wafanyakazi?
Ni kweli kabisa magufuli kafanya mambo mengi lakini kafanya Chato na huko ccmKiongozi lazima mkubaliane na uhalisia hakuna kiongozi mzuri asilimia mia 100
Kuna mambo Magufuli ameyafanya vizuri sana sana zaidi ya asilimia mia moja mfano
Watu kuwa na nidhamu maofisini
Watu kuheshimu Raia wa kawaida hasa kwenye huduma za jamii mfano mahospitali na kwenye ofisi za serikali
Watu kumuona kila mtu ni nyoka ofisini na mtu hatari pale anapokuletea dili la kupiga pesa,Leo hii kila mtu anaogopa madeal hujui nyoka ni nani
Tabia za uvivu na uzembe kwisha habari yake
Ulishaambia na kikwete,Mlitaka mabadiliko dawa ni kuleta mtu mkali na anatema cheche
Mapungufu ya Magufuli ni madogo sana
Moja ,Hataki kelele za watu kumsema na kumjadili jadili hovyo
Pili,Akiamua kufanya kitu anasimamia anachokiamini kiwe kitaharibu au hapana ,Yeye hapendi ushauri tofauti
Yote,Magufuli busara zake na hekima tunaziona leo maendeleo yanaonekana
Kanyaga twende Magufuli
Mkimpa Urais mtampiga bure!!. Hawezi kufanya kazi mbili kwa weledi ule ule. Kazi yake Kuu na anayoipenda ni kukosoa sio kuongoza au kutenda, hayo ni ya wengine!! [emoji23]Wajumbe msituangushe mleteni Lissu tu
Nani alimshauri wastaafu wasilipwe mafao yao?Kiongozi lazima mkubaliane na uhalisia hakuna kiongozi mzuri asilimia mia 100
Kuna mambo Magufuli ameyafanya vizuri sana sana zaidi ya asilimia mia moja mfano
Watu kuwa na nidhamu maofisini
Watu kuheshimu Raia wa kawaida hasa kwenye huduma za jamii mfano mahospitali na kwenye ofisi za serikali
Watu kumuona kila mtu ni nyoka ofisini na mtu hatari pale anapokuletea dili la kupiga pesa,Leo hii kila mtu anaogopa madeal hujui nyoka ni nani
Tabia za uvivu na uzembe kwisha habari yake
Ulishaambia na kikwete,Mlitaka mabadiliko dawa ni kuleta mtu mkali na anatema cheche
Mapungufu ya Magufuli ni madogo sana
Moja ,Hataki kelele za watu kumsema na kumjadili jadili hovyo
Pili,Akiamua kufanya kitu anasimamia anachokiamini kiwe kitaharibu au hapana ,Yeye hapendi ushauri tofauti
Yote,Magufuli busara zake na hekima tunaziona leo maendeleo yanaonekana
Kanyaga twende Magufuli
Akijibu nistueNani alimshauri wastaafu wasilipwe mafao yao?
Nani alimshauri afanye manunuzi ya umma bila kufuata taratibu?
Nani alimshauri kuongeza makato kwenye malipo bodi ya mikopo?
Nani alimshauri kua Demokrasia ni kwa CCM tu nasio kwa vyama vingine vyote?
Nani alimshauri kuvunjwa nyumba jimbo la Kibamba ila zile za Mwanza zikabaki kisa hai ndiyo waliompa kura?
Nani alimshauri kua majimbo yanayo ongozwa na upinzani ayatapata maendeleo ila yaliyo chini ya CCM yatapata Maendeleo?
Nani alimshauri kufunga vyuo na kutia hasara wawekezaji ?
Uchafuu wa chooni huu...Hii dunia ina vituko na vichekesho sana sana
Kwa mtu smart kichwani huwezi poteza muda wako kwenda kupiga kura wakati mshindi anajulikana
Mlishaambiwa itatumika kitu inaitwa "SHIKWAMBI" yaani Shinda kwa mbinu iwe mvua au jua
Wewe mleta uzi huoni Flyover, Stiglers gorge, Lami kila kona mpaka huko Lupaso na Nanjilinji
Ulishaambiwa Mzee Mwinyi anashangaa leo hii kila mtu ana vaa viatu mambo ya uchumi wa kati haya
Mwezi huu wa saba wafanyakazi wote wa serikali na private mmeongezewa elfu hamsini kwenye mishahara yenu
Rais Magufuli ameongeza mishahara sekta zote
Magufuli Baba kwa busara zako na hekima kanyaga twende
Leo hii Tanzania watu mnavaa viatu, Unajua kabla ya Rais Mwinyi kulikuwa hakuna mitumba
Magufuli Baba
Kwa hekima zako
Na busara zako Baba maendeleo tunayaona
Kanyaga twende Baba hakuna breki hapa tupo tambarare mambo yamenyooka na safi, kanyaga Baba
Mshindi anajulikana watu mnapoteza pesa Mlimani city hivi hamkusoma mambo ya Forecast au probability au hata kuona hamuoni
Alafu siku ya mahakamani lissu atadai yuko quarantine...
[emoji23][emoji23][emoji23]Alafu siku ya mahakamani lissu atadai yuko quarantine...
Uko sahihi sisi CCM hutafuta mtu tunayeamini anabeba sera Za CCM na kulisimamia hatutafuti mgombea wa kupambana na Lisu Hayuko kwenye Ilani ya CCM !!!Kuna watu wana macho lakini hawataki kuangalia ili waone. Kuna wenye masikio lakini hawataki kusikiliza ili wasikie. Na kuna ambao wameshaanza kujiwekea kinga kwamba kwenye kampeni wagombea waeleze sera zao lakini wasizungumzie/wasipinge yaliyofanywa na serikali.
Kutofika mahakamani amevunja sheria ipi mkuu maana hakimu pamoja na mawakili wetu CCM walikubali ombi la upande wa LissuAlafu siku ya mahakamani lissu atadai yuko quarantine...
Hakuna barakoa wala social distancing.