Mlimani City: Vikao vya CHADEMA kumchagua mgombea Urais

Mlimani City: Vikao vya CHADEMA kumchagua mgombea Urais

Leta ushahidi

Katika sifa ya Forensic investigation ni kukwepa habari za kusikia au kuhisi yaani"Hearsay"

Sasa habari za kusikika za vijiweni zisizo na ushahidi peleka kwenye familia yako nyumbani

Magufuli Baba,Kwa hekima zake maendeleo tunayaona

Vituo vya afya kila kona Tanzania hii
una uwezo mdogo sana kichwani
 
una uwezo mdogo sana kichwani
Magufuli Baba,Kwa busara zako na hekima yako Maendeleo tunayaona

Kanyaga twende

Wewe kama huna pesa kaa kimya ,Mnaompinga Magufuli wengi mna frustration za maisha

Matatizo yenu binafsi mnamsingizia Magufuli

Fanya kazi Magufuli hawezi kukujaza pesa mifukoni mwako

Magufuli Baba,Kwa hekima zako na busara yako,Maendeleo tunayaona

Kanyaga twende Baba 2020 to 2025
 
Niko hapa mlimani city kwa sasa na napaona ni mahali pazuri pa kutulia kwa sasa hasa uwepo wa viongozi mbalimbali wa Chadema eneo hili.

Najua ni kazi gani iliyowaleta hapa na Mimi nawatakia Kila la heri na bwana Yesu ninayemtukuza amwinue mgombea watakayempata na kumuweka kileleni katika taifa hili na nchi hii
 
Magufuli hajaongeza mshahara wa watumishi , amepunguza kiwango cha kodi tena baada ya Maji kumfika shingoni mwaka huu mwezi wa Saba. Unafikiri watumishi ni wajinga kulaghaiwa sasaivi wakati miaka 4 amewatelekeza.

Sikiliza nikwambie ndugu. Mjerumani alijenga miundombinu, mwingereza alijenga, Mkapa na Kimwete walijenga so kwa hivyo tena vidogo sana vya magufuli haviwambumbazi watanzania.

Hakuna mtu atakayeenda enda kumpa miaka mingine mitano mtu aliyeharibu uchumi wa nchi vibaya kama Magufuli, Watu hawana ajira maelfu mitaani kwa kuharibu kwake sekta binafsi. Biashara kubwa zimekufa sasa anataka kuifanya nchi nzima ya wachuuzi.

Ameharibu biashara ya mazao kama mahindi, korosho na mbaazi kwa kukurupuka kwake.

Bei ya Sukari imepanda toka 1800 hadi 2500 kwa kauli zake tu za kukurupuka alafu apewe tena miaka 5 ??? Hapana!!!

Kajipangeni upya na propaganda zenu uchwara hizo!
Kuna watu wana macho lakini hawataki kuangalia ili waone. Kuna wenye masikio lakini hawataki kusikiliza ili wasikie. Na kuna ambao wameshaanza kujiwekea kinga kwamba kwenye kampeni wagombea waeleze sera zao lakini wasizungumzie/wasipinge yaliyofanywa na serikali.
 
Hii dunia ina vituko na vichekesho sana sana

Kwa mtu smart kichwani huwezi poteza muda wako kwenda kupiga kura wakati mshindi anajulikana

Mlishaambiwa itatumika kitu inaitwa "SHIKWAMBI" yaani Shinda kwa mbinu iwe mvua au jua

Wewe mleta uzi huoni Flyover, Stiglers gorge, Lami kila kona mpaka huko Lupaso na Nanjilinji

Ulishaambiwa Mzee Mwinyi anashangaa leo hii kila mtu ana vaa viatu mambo ya uchumi wa kati haya

Mwezi huu wa saba wafanyakazi wote wa serikali na private mmeongezewa elfu hamsini kwenye mishahara yenu

Rais Magufuli ameongeza mishahara sekta zote

Magufuli Baba kwa busara zako na hekima kanyaga twende

Leo hii Tanzania watu mnavaa viatu, Unajua kabla ya Rais Mwinyi kulikuwa hakuna mitumba

Magufuli Baba

Kwa hekima zako

Na busara zako Baba maendeleo tunayaona

Kanyaga twende Baba hakuna breki hapa tupo tambarare mambo yamenyooka na safi, kanyaga Baba

Mshindi anajulikana watu mnapoteza pesa Mlimani city hivi hamkusoma mambo ya Forecast au probability au hata kuona hamuoni
Wewe mgonjwa
 
Mambo yamekwiva huku. Kwa mbaali kama nimemuona Tundu Lissu hivi. Anyway it doesn't matter....

Lakini muhimu ni kuwa, hawa unaowaona kwenye picha mnato hizi ni baadhi tu ya wajumbe wa kamati kuu ya CHADEMA wakiwa wamebeba ajenda ya "mchakato wa UCHAGUZI MKUU - 2020 TANZANIA"

Leo J'pili tarehe 2/8/2020 ilikuwa kamati kuu ya chama ikitengeneza mazingira kwa ajili ya Mkutano mkuu wa chama (Baraza Kuu) hapo tarehe 4/8/2020 siku ya J'nne, keshokutwa....

Hiko ndicho kikao kitachochagua jina moja tu kati ya matatu ili awe Rais wetu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa miaka mitano ijayo i.e 2020 - 2025

Je, atakuwa TUNDU A.M. LISSU, LAZARO S. NYALANDU ama mwanamama MAYROSE...?

Mimi kwa kweli sijui, lakini natumai "WAJUMBE HAWATAKUWA WABAYA" kivile kiasi cha kutuhuzunisha na kukata morali yetu ya kupiga kura mwaka huu...

Baada ya masaa kama 50 hivi yajayo tutamjua Rais wetu ajaye atakayetutoa katika zama za giza na utumwa ktk nchi ya Misri ya kale na kutuongoza kwenda nchi yetu ya ahadi - Tanzania mpya...

Je, MAJIRA na NYAKATI za kuondoa jinamizi CCM ndiyo haya yamewadia?

Mungu ni mkuu sana. Kama ndivyo alivyopanga, basi hakuna kitakachozuia kusudi la Mungu. Si NEC - CCM, si "Deep State" wala JWTZ wala TISS wala polisi...

MAJIRA na NYAKATI zikiwadia, huviabisha vyote vyenye nguvu....

Naiona Tanzania ya majira na nyakati mpya zenye nuru ya ajabu ing'aayo kuliko jua la machweo kwa mbali kidogo ikichomoza...

Nyakati za huzuni, kilio na mateso zinakwenda kwisha.

KARIBU TANZANIA MPYA, WEKA MBALI KABISA NA CCM YA MAGUFULI...

 
Kumbukumbu ya historia yaanza kuandikwa rasmi leo.
 
Niko hapa mlimani city kwa sasa na napaona ni mahali pazuri pa kutulia kwa sasa hasa uwepo wa viongozi mbalimbali wa Chadema eneo hili.

Najua ni kazi gani iliyowaleta hapa na Mimi nawatakia Kila la heri na bwana Yesu ninayemtukuza amwinue mgombea watakayempata na kumuweka kileleni katika taifa hili na nchi hii
Hivi miaka yote hii ya ruzuku hamjajenga hata ukumbi wa mikutano??
 
Unataka kikao cha kamati kuu kiwe live? Lini CCM wamewahi kufanya hivyo? Hiyo picha ya juu pekee ndiyo halisi ila hizo nyingine ni zile za kipindi cha uchaguzi wa chamani. Jiongeze! Baraza kuu kesho tutakuwa live pamoja na mkutano mkuu kesho kutwa.
Kwa Hiyo hayo yanayoendelea kamati kuu Ni Siri Sio? Siri kwenye jengo la kupanga? ha ha ha ha mbavu zangu Mimi.Tuliwaambia mjenge majengo yenu hamkutuelewa mkatuita majina yote ohh mataga ,book 7 nk Asante endeleleeni na kikao chenu Cha kinachoitwa Cha Siri kwenye jengo.la ukumbi wa kupanga!!!
 
Back
Top Bottom