Mlimani City: Vikao vya CHADEMA kumchagua mgombea Urais

Mlimani City: Vikao vya CHADEMA kumchagua mgombea Urais

Protocal ya ukaaji Meza Kuu siyo. TAL anatakiwa abadilishane nafasi na M/M/kiti wa Zanzibar na Mwalimu wabadilishane na Naibu Katibu Mkuu Bara nafasi zao. Lakini yote kwa yote Tunamtaka Lissu tu.
 
Uko sahihi sisi CCM hutafuta mtu tunayeamini anabeba sera Za CCM na kulisimamia hatutafuti mgombea wa kupambana na Lisu Hayuko kwenye Ilani ya CCM !!!

Na tunaamini pia Chadema Magufuli hayumo kwenye ilani ya Chadema Sasa mtu akisema nichagueni Mimi nipambane na Magufuli Mimi ndie mtu sahihi Ni mjinga na asiyeelewa kazi ya Ugombea uraisi!!!

Haelewi kitu Ni mweupe kichwani hafai hata ujumbe wa nyumba kumi
Mtu huyo anakua ametenda kosa gani kisheria mkuu?
Lissu akipeperusha bendera ya CHADEMA A OKTOBA mimi nitampa kura maana ata kama ni Upinzani lakini amebeba mahitaji ya watanzania sio mahitaji yake kama anavyosema Dr.Magufuli kua Serikali yake...CCM yake nk
 
Hii dunia ina vituko na vichekesho sana sana

Kwa mtu smart kichwani huwezi poteza muda wako kwenda kupiga kura wakati mshindi anajulikana

Mlishaambiwa itatumika kitu inaitwa "SHIKWAMBI" yaani Shinda kwa mbinu iwe mvua au jua

Wewe mleta uzi huoni Flyover, Stiglers gorge, Lami kila kona mpaka huko Lupaso na Nanjilinji

Ulishaambiwa Mzee Mwinyi anashangaa leo hii kila mtu ana vaa viatu mambo ya uchumi wa kati haya

Mwezi huu wa saba wafanyakazi wote wa serikali na private mmeongezewa elfu hamsini kwenye mishahara yenu

Rais Magufuli ameongeza mishahara sekta zote

Magufuli Baba kwa busara zako na hekima kanyaga twende

Leo hii Tanzania watu mnavaa viatu, Unajua kabla ya Rais Mwinyi kulikuwa hakuna mitumba

Magufuli Baba

Kwa hekima zako

Na busara zako Baba maendeleo tunayaona

Kanyaga twende Baba hakuna breki hapa tupo tambarare mambo yamenyooka na safi, kanyaga Baba

Mshindi anajulikana watu mnapoteza pesa Mlimani city hivi hamkusoma mambo ya Forecast au probability au hata kuona hamuoni
Una akili ndogo sana,,
 
CHADEMA Ntakuja kuw wa mwisho kuondoka'
Mungu awabariki
 
Back
Top Bottom