Mlimani City: Vikao vya CHADEMA kumchagua mgombea Urais

Buku 7
 
kwa mbaliii Mbowe anapiga hesabu za kubadili tena gia angani..

lakini mbele ya wakili msomi hesabu inamgomea
 
Kaka ,Uchumi unajiendesha wenyewe kwa nguvu za uhitaji na upatikanaji yaani Forces of Demand and Supply

Kaharibu soko una uhakika yeye ndie anaendesha Free enterprise economy au bado unafikiria Tanzania ni nchi ya ujamaa

Baba Tanzania sio nchi ya ujamaa tena iliyofanya serikali kumiliki viwanda

Sasa umekiri umeongezewa elfu hamsini(50,000),

Hiyo elfu hamsini uliongezewa na familia yako au na serikali inayoongozwa na Magufuli

Magufuli Baba,kwa hekima zako ,na busara zako maendeleo tunayaona

Kanyaga twende Baba
 
Nyuzi za kusifu na kuabudu zipo nyingi mno , nenda huko ukachangie , angekuwa hivyo angeteka wanaompinga ?
 
Chadema naona mumewagomea hata waandishi wa online kurusha live mikutano yenu Kama CCM

Hata wenyewe mumeshindwa ku stream Live!!! Chadema Sasa kweli.mko hoi .Hata Chadema live yenu online wenyewe iwe Twitter , Facebook, YouTube etc mumeshindwa kurusha live!!!

Unatuletea picha ya 2015 eti ndio tuangalie !!!
 
Nyuzi za kusifu na kuabudu zipo nyingi mno , nenda huko ukachangie , angekuwa hivyo angeteka wanaompinga ?
Leta ushahidi

Katika sifa ya Forensic investigation ni kukwepa habari za kusikia au kuhisi yaani"Hearsay"

Sasa habari za kusikika za vijiweni zisizo na ushahidi peleka kwenye familia yako nyumbani

Magufuli Baba,Kwa hekima zake maendeleo tunayaona

Vituo vya afya kila kona Tanzania hii
 
mkuu mm sikuona 50k mm niliona 25
 
Unataka kikao cha kamati kuu kiwe live? Lini CCM wamewahi kufanya hivyo? Hiyo picha ya juu pekee ndiyo halisi ila hizo nyingine ni zile za kipindi cha uchaguzi wa chamani. Jiongeze! Baraza kuu kesho tutakuwa live pamoja na mkutano mkuu kesho kutwa.
 
Mkutano wa Live utauona tu. Tulia chama tawala kitarajiwa kipo kwenye mikakati mizito
 
Kama ina uma chomoa
 
Mbona mnajamba kabla hamjajambishwa, mnaogopa nini kama kila kitu mmefanya?
 
Ndivyo Magufuli alivyowafundisha kuongea?

Katika kuweka kumbukumbu sawa, kwamba bado twakumbuka harakati za huyu makamu mkt akiwa nje ya Tanzania. Asije akafikiri kwa kurudi kwake tumesahau.
 
Sitampa kura yangu Lissu nitampigia JPM lakiki nawashauri CHADEMA wamteue Lissu kwani ataleta challange kubwa kuliko wagombea wengine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…