Mlimani City: Vikao vya CHADEMA kumchagua mgombea Urais

una uwezo mdogo sana kichwani
 
una uwezo mdogo sana kichwani
Magufuli Baba,Kwa busara zako na hekima yako Maendeleo tunayaona

Kanyaga twende

Wewe kama huna pesa kaa kimya ,Mnaompinga Magufuli wengi mna frustration za maisha

Matatizo yenu binafsi mnamsingizia Magufuli

Fanya kazi Magufuli hawezi kukujaza pesa mifukoni mwako

Magufuli Baba,Kwa hekima zako na busara yako,Maendeleo tunayaona

Kanyaga twende Baba 2020 to 2025
 
Niko hapa mlimani city kwa sasa na napaona ni mahali pazuri pa kutulia kwa sasa hasa uwepo wa viongozi mbalimbali wa Chadema eneo hili.

Najua ni kazi gani iliyowaleta hapa na Mimi nawatakia Kila la heri na bwana Yesu ninayemtukuza amwinue mgombea watakayempata na kumuweka kileleni katika taifa hili na nchi hii
 
Kuna watu wana macho lakini hawataki kuangalia ili waone. Kuna wenye masikio lakini hawataki kusikiliza ili wasikie. Na kuna ambao wameshaanza kujiwekea kinga kwamba kwenye kampeni wagombea waeleze sera zao lakini wasizungumzie/wasipinge yaliyofanywa na serikali.
 
Wewe mgonjwa
 
Mambo yamekwiva huku. Kwa mbaali kama nimemuona Tundu Lissu hivi. Anyway it doesn't matter....

Lakini muhimu ni kuwa, hawa unaowaona kwenye picha mnato hizi ni baadhi tu ya wajumbe wa kamati kuu ya CHADEMA wakiwa wamebeba ajenda ya "mchakato wa UCHAGUZI MKUU - 2020 TANZANIA"

Leo J'pili tarehe 2/8/2020 ilikuwa kamati kuu ya chama ikitengeneza mazingira kwa ajili ya Mkutano mkuu wa chama (Baraza Kuu) hapo tarehe 4/8/2020 siku ya J'nne, keshokutwa....

Hiko ndicho kikao kitachochagua jina moja tu kati ya matatu ili awe Rais wetu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa miaka mitano ijayo i.e 2020 - 2025

Je, atakuwa TUNDU A.M. LISSU, LAZARO S. NYALANDU ama mwanamama MAYROSE...?

Mimi kwa kweli sijui, lakini natumai "WAJUMBE HAWATAKUWA WABAYA" kivile kiasi cha kutuhuzunisha na kukata morali yetu ya kupiga kura mwaka huu...

Baada ya masaa kama 50 hivi yajayo tutamjua Rais wetu ajaye atakayetutoa katika zama za giza na utumwa ktk nchi ya Misri ya kale na kutuongoza kwenda nchi yetu ya ahadi - Tanzania mpya...

Je, MAJIRA na NYAKATI za kuondoa jinamizi CCM ndiyo haya yamewadia?

Mungu ni mkuu sana. Kama ndivyo alivyopanga, basi hakuna kitakachozuia kusudi la Mungu. Si NEC - CCM, si "Deep State" wala JWTZ wala TISS wala polisi...

MAJIRA na NYAKATI zikiwadia, huviabisha vyote vyenye nguvu....

Naiona Tanzania ya majira na nyakati mpya zenye nuru ya ajabu ing'aayo kuliko jua la machweo kwa mbali kidogo ikichomoza...

Nyakati za huzuni, kilio na mateso zinakwenda kwisha.

KARIBU TANZANIA MPYA, WEKA MBALI KABISA NA CCM YA MAGUFULI...
Your browser is not able to display this video.

Your browser is not able to display this video.
 
Kumbukumbu ya historia yaanza kuandikwa rasmi leo.
 
Hivi miaka yote hii ya ruzuku hamjajenga hata ukumbi wa mikutano??
 
Unataka kikao cha kamati kuu kiwe live? Lini CCM wamewahi kufanya hivyo? Hiyo picha ya juu pekee ndiyo halisi ila hizo nyingine ni zile za kipindi cha uchaguzi wa chamani. Jiongeze! Baraza kuu kesho tutakuwa live pamoja na mkutano mkuu kesho kutwa.
Kwa Hiyo hayo yanayoendelea kamati kuu Ni Siri Sio? Siri kwenye jengo la kupanga? ha ha ha ha mbavu zangu Mimi.Tuliwaambia mjenge majengo yenu hamkutuelewa mkatuita majina yote ohh mataga ,book 7 nk Asante endeleleeni na kikao chenu Cha kinachoitwa Cha Siri kwenye jengo.la ukumbi wa kupanga!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…