Mlimani City: Vikao vya CHADEMA kumchagua mgombea Urais

Pathetic
 
Inachagua miaka mingine mitano ya ukandamizaji wafanyakazi?
Kila mtu ana malengo yake mkuu, sijaona kama kutoongezwa mishahara kama ni big deal, isitoshe nimechunguza wafanyakazi wengi nimegundua maisha wameyamudu vizuri kabisa.
Na amini,, nyongeza za mishahara ziliwafanya wafanyakazi wengi kubweteka lakini sasa wamechangamka kwani ni wengi wana miradi inayowapatia hela ya ziada.

Wanalipa kodi, ndiyo maana uchumi unazidi kukua.
 
K
Ni kweli kabisa magufuli kafanya mambo mengi lakini kafanya Chato na huko ccm
 
Mbona wanachelewesha kumtangaza nyarandu,au kuna uchakachuzi unafanyika?
 
Wajumbe msituangushe mleteni Lissu tu
Mkimpa Urais mtampiga bure!!. Hawezi kufanya kazi mbili kwa weledi ule ule. Kazi yake Kuu na anayoipenda ni kukosoa sio kuongoza au kutenda, hayo ni ya wengine!! [emoji23]
 
Kweli corona imeisha. Lissu awe mgombea,,Nyalandu mgombea mwenza kwishaa.
 
Nani alimshauri wastaafu wasilipwe mafao yao?
Nani alimshauri afanye manunuzi ya umma bila kufuata taratibu?
Nani alimshauri kuongeza makato kwenye malipo bodi ya mikopo?
Nani alimshauri kua Demokrasia ni kwa CCM tu nasio kwa vyama vingine vyote?
Nani alimshauri kuvunjwa nyumba jimbo la Kibamba ila zile za Mwanza zikabaki kisa hao ndiyo waliompa kura?
Nani alimshauri kua majimbo yanayo ongozwa na upinzani ayatapata maendeleo ila yaliyo chini ya CCM yatapata Maendeleo?
Nani alimshauri kufunga vyuo na kutia hasara wawekezaji ?
 
Akijibu nistue
 
Uchafuu wa chooni huu...
 
Vikao vya ndani wameruhusu hao watu wa intelijensia? Ama Kamanada Mambo-now intelijensia yake hakufanya kazi leo?
 
Uko sahihi sisi CCM hutafuta mtu tunayeamini anabeba sera Za CCM na kulisimamia hatutafuti mgombea wa kupambana na Lisu Hayuko kwenye Ilani ya CCM !!!

Na tunaamini pia Chadema Magufuli hayumo kwenye ilani ya Chadema Sasa mtu akisema nichagueni Mimi nipambane na Magufuli Mimi ndie mtu sahihi Ni mjinga na asiyeelewa kazi ya Ugombea uraisi!!!

Haelewi kitu Ni mweupe kichwani hafai hata ujumbe wa nyumba kumi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…