Hii dunia ina vituko na vichekesho sana sana
Kwa mtu smart kichwani huwezi poteza muda wako kwenda kupiga kura wakati mshindi anajulikana
Mlishaambiwa itatumika kitu inaitwa "SHIKWAMBI" yaani Shinda kwa mbinu iwe mvua au jua
Wewe mleta uzi huoni Flyover, Stiglers gorge, Lami kila kona mpaka huko Lupaso na Nanjilinji
Ulishaambiwa Mzee Mwinyi anashangaa leo hii kila mtu ana vaa viatu mambo ya uchumi wa kati haya
Mwezi huu wa saba wafanyakazi wote wa serikali na private mmeongezewa elfu hamsini kwenye mishahara yenu
Rais Magufuli ameongeza mishahara sekta zote
Magufuli Baba kwa busara zako na hekima kanyaga twende
Leo hii Tanzania watu mnavaa viatu, Unajua kabla ya Rais Mwinyi kulikuwa hakuna mitumba
Magufuli Baba
Kwa hekima zako
Na busara zako Baba maendeleo tunayaona
Kanyaga twende Baba hakuna breki hapa tupo tambarare mambo yamenyooka na safi, kanyaga Baba
Mshindi anajulikana watu mnapoteza pesa Mlimani city hivi hamkusoma mambo ya Forecast au probability au hata kuona hamuoni