Mlimani City walikuwa wanajiamini na nini hadi kumgomea Magufuli hivi? Inamilikiwa na nani?

wangewanyima mngewasema.

wamewapa mnawasema tena mkijiuliza nguvu ile ilitoka wapi.... dah..kumbe nao wangewanyima tu..
Hawawasemi ila wanatafakari jeuri hiyo waliitoa wapi. Wote tunamjua yule mtu alivyokuwa akioperate lakini kweli hakuwagusa. Ilikuwaje????
 
Ina maana wewe pekee ndiyo huna taarifa kuwa jiwe alikuwa anaua raia wake?
 
ndio maana tunawasikitikia nyinyi wapuuzi maana mnaamini sabaya anafilimbwa kama mlivyofilimbwa nyinyi.
kwa hiyo mbona mnalia mkitaka aachiwe, asiachiwe tena?..kufirimbwa kwa ukweli zaidi ni kuwekewa sumu ukafa baada ya kujidai kushinda uchaguzi kwa kishindo, ndio yule hayawani alichofanyiwa na wazalendo wa nchi hii
na nyie wafuasi wake hamna mnachoweza kufanya
 
kama ni kweli ilibidi kuweka sumu afe tutoe hongera kwa ushindi huo mlioupata,maama kwa kupoteza kwenu ulaji bungeni adhabu pekee mliyoona angestahili ni kufa.

but let me tell you,Mungu hachelewagi kujibu.ndio maana legacy peke yake imekuwa mbinde kuifuta,kule twitter wanaharakati fulsa wameona nao watie neno mara baada ya kuhakikishiwa kwamba ni kweli nchi ina aman,eti watarejea nyumbani sasa😂😂,hakika nchi hii wajinga ni asset.

kama mbowe aliachiwa,sabaya hawezi kufungwa jiandae kwa makasiriko.
 
Sasa serikali ingewarudishia pesa walizotoa CHADEMA, Mlimani City nao wangewafukuza CHADEMA?
 
Mungu ndiye aliingilia kati Kwa kulifyekelea mbali hili jinamizi ili nchi ipone.
 
Mungu hakai upande wa shetani, hilo ni sawa na dua la kuku hilo..mimi sijawahi kuwa mbunge wala hakuna ulaji wowote aliokatisha kwangu, nazungumzia maslahi ya taifa sio mambo yangu binafsi..Wazalendo wa nchi hii waliona yule hayawani anaiharibu Tanzani wakamalizia mbali, na hapo ndipo nilipoamini nchi hii kweli ina ulinzi, haiwezekani kichaa aharibu nchi huku anaangaliwa tu..Futilia mbali, pumbavvv. Eti legacy, nani anajali kuhusu legacy ya mwendawazimu, labda nyie mazezeta wake
 
kama ni hao mabasha wako unaowaita wazalendo ndio walikaa kwa maslahi yao wakakuhadaa kwamba ni wazalendo usimhusishe Mungu mwenyewezi na huo ufirauni wenu,tinduaneni kwa raha zenu mkimaliza adhabu inakuja.
mslahi ya taifa unayajua wewe ungeandika huu utumbo wako hapo juu!!!!

hata ubunge tu kupata ishue na uko makalio juu kuimba eti maslahi ya taifa.

legacy huwezi kuiona wewe tutusa,maama unatumwa tu muulize aliyekutuma.
 
Ina maana wewe pekee ndiyo huna taarifa kuwa jiwe alikuwa anaua raia wake?
Taarifa za kumtuhumu hivyo ninazo ila najiuliza hao raia alikuwa anawauwa kwa sababu zipi ni ushirikina kwamba alikuwa anawatoa kafara au hao raia walikuwa ni akina nani wenye uzito wa hadi aagize watafutwe na kuuliwa?
 
Mungu ndiye aliingilia kati Kwa kulifyekelea mbali hili jinamizi ili nchi ipone.
Sasa nchi imepona nini hii wakati ufisadi bado upo, ccm bado ipo na ndio kitovu cha yote haya na miaka yote kilio kilikuwa ni ccm.
Nadhani huyo mungu angeingilia kati kwa kuindoa ccm madarakani maana hata sasa hitaji la katiba mpya linazuiliwa na çcm.
 
Hahaa, naona umefura kwa hasira unaishia kutukana tu, ila ndio hivyo yule hayawani wenu hayupo tena, nchi inasonga mbele vizuri

Halafu ubunge mbona sio kitu kikubwa kivile? Au kama haupo interested na nafasi za kisiasa huwezi kuona maslahi ya taifa? Kweli wewe msukule

Kama ume mind sana fuata ule ushauri wa Zitto... Chato bado ina eneo kubwa tu la kuzikia
 
Kwa udikteta na ushenzi ule unafikiri hilo lengo lingefikiwa? Huwezi kuangusha mbuyu kama unakata mgomba.
 
Mungu mkuu akatumalizia yale matesi. Tukamuomba Mungu naye akatusikia. Mungu wetu ni mwaminifu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…