Mlimani City walikuwa wanajiamini na nini hadi kumgomea Magufuli hivi? Inamilikiwa na nani?

Jiwe alikuwa mshamba sana, mwisho wa siku akafa yeye. Watanzania inabidi wote kwa pamoja tushukuru Mungu
 
Hoja mfilisi pambanen kujenga chama muungwe mkono mtabaki mnasema mtu kashaondoka huku mkiendelea kutawaliwa na ccm iliyojaa ufisadi! Mmebakiza vioja siyo hoja siyo mwenyekiti wenu wala nyie nyote kwasasa hamna hoja hoja ni matusi dhidi ya mwendazake
Mwendazake katajwa wapi? Acha usukuma gang mkuu
 
Sukuma gang ni wapumbavu aisee, yaani hujaelewa hata jambo dogo hilo?
 
Huyu jamaa ni mjinga sana ujue.

Anatajataja kumbi lakini hizo anazoziita kumbi nyingine hazitaji kwa majina.
Kama ipi wewe sukuma gang aka mfuasi wa shetani Jiwe
 
Hii ndo dalili ya mwili jumba akili kinukta
Kuna watu siasa haziendani nao wanforce tu.
Jitu kuubwa tumbo kulee linapiga makelele kunyimwa lunch.
Huyo jamaa kila siku ndio mleta vurugu kwenye kila vikao viwe chandema au vingine.
Eti X -Mayor matako ya mbuzi.
Jitu kuubwa akili kama punje ya mchele.
Taguta kazi zingine we we bongenyanya k vant na minyama haisaidii kitu.
 
Mungu ibariki Mlimani City
 
Wengi wanao mtukana uki wachunguza hamna walicho badilika ata jamaa alivyo dead wako pale pale
Ukimzuia Benzema kuichezea Madrid halafu dkk ya 89 aingie akute timu yake imepigwa 4-0 unafikiri atafanya nini.
Kuna vitu vinahitajika vifanyike kwa wakati husika ,visipofanyika unakuwa umempotezea timing.
Kama mtu alikuwa anafanya biashara ya korosho,akapotezewa timing inawezekana mtaji umepotea sasa ambao itamchuku muda mrefu kuwa stable tena.
 
Ila yule jamaa alikuwa katili sana. Alikuwa na chuki hadi na majengo. Aende salama huko alikojiendea.
 
Hoja mfilisi pambanen kujenga chama muungwe mkono mtabaki mnasema mtu kashaondoka huku mkiendelea kutawaliwa na ccm iliyojaa ufisadi! Mmebakiza vioja siyo hoja siyo mwenyekiti wenu wala nyie nyote kwasasa hamna hoja hoja ni matusi dhidi ya mwendazake
Hitler, Amin nk bado wanaongelewa mpaka leo, iweje asaulike wa hivi karibuni?? Nyerere bado tunamwongelea mpaka leo na kesho.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…