Mlimani City walikuwa wanajiamini na nini hadi kumgomea Magufuli hivi? Inamilikiwa na nani?

Mlimani City walikuwa wanajiamini na nini hadi kumgomea Magufuli hivi? Inamilikiwa na nani?

Mimi sizungumzii ushamba wake wala maziko yake, nachosema ni kwamba makosa yote yaliyofanyika awamu ya tano alihusishwa nayo Jiwe moja kwa moja ila awamu hii makosa yanayofanyika hahusishwi Samia japokuwa yeye ndio rais kama alivyokuwa Jiwe.
Una haraka gani, si usubiri naye akifa.!!
 
Wanasiasa wanajuana, wanatuchanganya tu raia, siasa za Chadema ni za wachumia tumbo, wanatingishaga tu kibiriti wapate maslahi yao, uzuri walimkuta Ngosha acheki na Kima, uso wa mbuzi, Mbowe ni mtu wa maslahi,mbwa Koko, yupo pale kufanikisha deals zake, Ngosha alikuwa anajua kuwa Mbowe ni Mwanasiasa uchwala.

Sent from my WAS-TL10 using JamiiForums mobile app
Huyo ngosha yuko wapi?
 
wangewanyima mngewasema.

wamewapa mnawasema tena mkijiuliza nguvu ile ilitoka wapi.... dah..kumbe nao wangewanyima tu..
Siyo wanawasema, bali wana appreciate.

Nahisi umiliki wa Mlimani City unakijumuisha na Chuo Kikuu Cha Dar es salaam
 
Anaandika Boniface Jacob ambaye alikuwa Meya wa Ubungo na Mjumbe wa Kamati Kuu Chadema, aisee inaonekana wafanyabishara wote wa ndani na wa kigeni walikuwa wakimuogopa Magufuli isipokuwa mmiliki wa Mlimani City kama anavyoandika Boniface Jacob hapa
================

ZAMA ZILE ZA GIZA kumbi nyingi sana Dar es Salaam ziligoma Kupokea Pesa za Chadema Kwa ajili ya Kukodi Kumbi za Kufanyia mikutano ya Kamati kuu 2016 Kuelekea Operation Ukuta Giraffe Hotel wao Katikati ya Kikao Walifuatwa na Magari ya Polisi, Wakaturudishia pesa zetu tuondoke

Basi tukavunja Kikao wakiwa wameshapika Chakula cha Wajumbe na Break fast, Ila wakarudisha pesa zote Tiffany Diamond, Wao Siku ya Kikao cha Kamati kuu,Waligoma Kufungua Ukumbi Kufuatia Vitisho walivyo pokea kutoka Serikalini, Wakaturudishia pesa zetu, tukatafuta Kumbi Nyingine

2017 Double Tree Hotel wao Walipokea pesa za Chadema Kwa ajili ya Kikao cha Kamati Kuu Siku 3 ila Baada tuh ya Kikao cha Siku ya Kwanza Kesho yake wakaomba tusi rudi tena pale Hotelini Kwao
Kufuatia Vitisho walivyopokea kutoka Serikalini

Siku Moja Week end baada ya Vikao pia tukaenda Hotel Moja Masaki Kupumzika na Kupata Chakula na Kinywaji Wao Wahudumu Walikatazwa kabisa Kuja kutusikiliza Mezani Kwetu,Tulipo kuwa wakali Meneja alituambia Maboss zake Wahindi Wametuona tukiwa tunaingia Wameogopa sana Ukaondoka

Wamiliki wa Kumbi moja tuh ya Mlimani City hadi Leo hatujui kwanini Walikuwa wanajiamini sana Mara zote Walipokea pesa na Wakatupatia Ukumbi Chadema,Serikali ilipofika kuwatisha Walikuwa Wanatoa akaunti namba za Benki,Serikali iweke pesa zote za Kuwa rudisha Chadema

Mwaka 2019 Ukumbi Wa Mlimani City pakiwa pamepambwa na bendera za Chadema,Serikali Walifika tena Kuwatisha ili tunyimwe Ukumbi, Jamaa wa Katoa Akaunti ya Benki Waingize pesa ili wao wavunje Mkataba na Chadema Kwahasira Serikali ilirudi Mida ya Saa 5 Usiku ikiwa na Polisi wengi

Polisi wakazingira Ukumbi Mlimani City,Usiku Ule Wajumbe wa Mkutano Mkuu waliokuwa Dar es Salaam tukahamasishana Kuja Mlimani City Wanachadema Walipojaa,Polisi Walitoka nje ya eneo la ukumbi kwahasira walipiga Mabomu wakaondoa Bendera zote za Barabarani pamoja Mgambo wa Jiji

Kwa Mabomu yale nilifikiri sasa Wamiliki wa Ukumbi Wa Mlimani City Wataingia Uoga, Siku Nyingine hatutopewa tena Ukumbi Tulienda tena 2020 kukakodi Ukumbi tulijua watagomea, Walaah hata hawakuuliza Maswali, Walipokea pesa wa Katoa Ukumbi, Tukampitisha Lissu kama Mgombea Urais

Nimeitoa TwitterView attachment 2252605
CHUMA JPM nilikua namkubali sana kiutendaji lakini kuminya demokrasia na uonevu ndo vitu nilikua navichukia sana kutoka kwakee!!why hutaki kupingwa??why hupendi mawazo mbadala????
 
Mimi sizungumzii ushamba wake wala maziko yake, nachosema ni kwamba makosa yote yaliyofanyika awamu ya tano alihusishwa nayo Jiwe moja kwa moja ila awamu hii makosa yanayofanyika hahusishwi Samia japokuwa yeye ndio rais kama alivyokuwa Jiwe.
Mimi nimesoma tu comment yako. Ila nahisi wewe ni mgeni au munafiki wa siasa za Nchi yetu pendwa
 
CHUMA JPM nilikua namkubali sana kiutendaji lakini kuminya demokrasia na uonevu ndo vitu nilikua navichukia sana kutoka kwakee!!why hutaki kupingwa??why hupendi mawazo mbadala????
Mkuu wewe utakua ni genuine open mind
 
Una haraka gani, si usubiri naye akifa.!!

Mimi nimesoma tu comment yako. Ila nahisi wewe ni mgeni au munafiki wa siasa za Nchi yetu pendwa
Labda haujaelewa point yangu, ni kwamba pamoja na matatizo yake Magufuli ila alikuwa anahusishwa na kila jambo baya katika awamu yake yani ilikuwa hakuna kutenganisha kati ya makosa ya wasaidize wake na yale yanayomuhusu yeye kila baya anahusiahwa nalo moja kwa moja hata kama hahusiki.
Awamu hii makosa yanayotendeka lawama haziendi kwa Samia bali watalaumiwa wasaidize wake kwa kufanya hayo makosa au itasemwa wamemshauri vibaya ila Samia hahusishwi na mabaya au makosa moja kwa moja kama ilivyokuwa kwa jiwe.
 
Kama watoto wako wanafanya uhuni kwa majirani zako wewe ukijua halafu huchukui hatua zidi yao unataka lawama apewe nani?
 
Kama watoto wako wanafanya uhuni kwa majirani zako wewe ukijua halafu huchukui hatua zidi yao unataka lawama apewe nani?
Sasa ndio maana nashangaa kwamba mbona Samia hapati lawama kwa makosa yanayotendeka kwenye uongozi wake? Mfano ccm wanaruhusiwa kufanya mikutano ila wapinzani wanazuiliwa lakini huoni Samia kulaumiwa, Mbowe kakamatwa wakati Samia ndio mkuu wa nchi na hadi yeye mwenyewe alikiri kuwa Mbowe ana makosa ndio maana kakamatwa ila lawama hazikwenda kwa Samia matokeo yake wakawa wanamuomba amuache huru Mbowe.
 
Ni sawaa magu alikuwa chiz ila Ni rais mzuri Sana linapokuja swala la maslai ya taifa na raia wake

Ameshasema kuwa inawezekana kuwa yey siyo mwnasias mzuri na ipo siku atakuja mwnasiasa mzuri atawabembeleza nimemuelewa San jpm polea pote
 
Kwahiyo hao mlimani city wameweza kushindana na Dikteta kwa kumdindia kwa kile alichokitaka? Nyie si ndio mnaolalamika kila siku Jiwe alichomfanya Mbowe.
Ndii maana nikauliza mlimani City walijiamini na nini kumdindia yule dikteta
 
Ni sawaa magu alikuwa chiz ila Ni rais mzuri Sana linapokuja swala la maslai ya taifa na raia wake

Ameshasema kuwa inawezekana kuwa yey siyo mwnasias mzuri na ipo siku atakuja mwnasiasa mzuri atawabembeleza nimemuelewa San jpm polea pote
Kwa hiyo hapo alipokuwa akizuia watu kukodi ukumbi alikuwa akisimamia maslahi gani ya taifa?
 
Labda haujaelewa point yangu, ni kwamba pamoja na matatizo yake Magufuli ila alikuwa anahusishwa na kila jambo baya katika awamu yake yani ilikuwa hakuna kutenganisha kati ya makosa ya wasaidize wake na yale yanayomuhusu yeye kila baya anahusiahwa nalo moja kwa moja hata kama hahusiki.
Awamu hii makosa yanayotendeka lawama haziendi kwa Samia bali watalaumiwa wasaidize wake kwa kufanya hayo makosa au itasemwa wamemshauri vibaya ila Samia hahusishwi na mabaya au makosa moja kwa moja kama ilivyokuwa kwa jiwe.
Naheshimu mawazo yako mkuu [emoji120]
 
Dikteta mwingine atatokea iwapo atatoboa ni mwigulu Nchemba. Mungu atuepushe nae yule jamaa
Duh! Lakini hata yule mnayemuona Leo kuwa ni mpole sana na muungwana sana huenda kesho akabadilika na kuwa MTU tofauti kabisa !! Akishafika huko juu !
 
Back
Top Bottom