Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Sasa hivi tunaendeshwa kama gari mbovuWewe toa ujinga wako hapa. Tunaongelea walinzi wa Rais sio CCM. Sasa hao walinzi wameingia darasani na wamesoma mbinu mbalimbali za ulinzi. Je, kama katika mitaala yao kuna hiyo ya kuvaa kuendana na tukio husika ili iwe ngumu kujua Nani ni Nani?
Lini mjinga akajua ujinga wake? Wachache wanakua utawala wa Fascist unakuaje mpaka awe amefika angalau kidato za tatuNaona unaota
Mmesha kosa lakusema nyie
Magereza yanajihudumia
Lazima Yatafute pesa
Wamelipwa kama wanavyo lipwa JKT wajengapo Majengo nk
Mjitambue
Mkuu kwahiyo Jeshi ni chama cha Mapinduzi?Kwwhiyo hata Magufuli hapaswi kuvaa sare za ccm kwenye vikao kama hivyo?
Katiba na Sheria za Tanzania hairuhusu Mtumishi wa umma kuwa mwanachama wa chama cha siasaNarudia tena ni hivi.. Elimu yetu aitupi utambuzi ata kidogo bali inatufanya tue duni,waoga,waovu,wanafiki,wapuuzi na mandondocha lakini goi goi wa kufikiria.
WE SHALL OVERCOME
WE SHALL MISS YOU KIKWETE
Ha ha ha ha haMkuu kwahiyo Jeshi ni chama cha Mapinduzi?
Ha ha ha haMkuu uprofessional kwa ccm ni kwa watumishi wa umma kuvaa sare za vyama vya siasa? Jamani wenzetu huu ujinga mmeusomea wapi? This is unsual
umejaa vituko hasa utawala huu wa Naibu Rais Bashite na mtukufuHii nchi
Kwani CCM ndiyo hulipa kodi CCM ndiyo hutoa pato la Taifa Hazina? Walipa kodi wana uchungu hawataki pesa zao kuwalipa mishahara watumishi wa umma kisha waende kuvaa nguo za CCMHahaha mbona hata kamanda Siro anavaa kijani kibichi, na vipi Mabeyo?!
Waacheni wavae mtajipa pressure bure.
Huwezi ukawa ccm ukafuata walinzi Chadema na hata Chadema hawawezi kulindwa na uvcc.
Wazo nyuma ya hilo ni kuwa wajichanganye na hadhara usiwajue/usiwatambue.Wanajukwaa naomba kuuliza hili la walinzi wa Rais Magufuli kuvaa sare za CCM limekaaje?
Kesho ACT wakalipie magereza wawawekee bendera zao mitaani uone kama watafanikiwa...Mmesha kosa lakusema nyie
Magereza yanajihudumia
Lazima Yatafute pesa
Wamelipwa kama wanavyo lipwa JKT wajengapo Majengo nk
Mjitambue
Hahaha mbona hizo hizo pesa za walipa kodi zinamlipa mwenyeketi wa ccm taifa, nyie mnamuita rais, zinawalipa wateule wa ccm wote, majaji, wakuu wa mikoa, wilaya, mawaziri na hata wabunge wa ccm, unadhani wao tu ndio hulipa kodi?!Kwani CCM ndiyo hulipa kodi CCM ndiyo hutoa pato la Taifa Hazina? Walipa kodi wana uchungu hawataki pesa zao kuwalipa mishahara watumishi wa umma kisha waende kuvaa nguo za CCM
Yani umekubali kuwa wamevaa sare za chama?Kawaida sana!
Uliwaajiri?Walinzi hulipwa mishahara kwa kodi za umma ambayo ni pesa ya walipa kodi wote ambao wengi siyo wapenzi wa CCM, walinzi ni watumishi wa umma hawaruhusiwi kuvaa nguo za CCM.