Mlinzi wa Rais kuvaa sare za chama ni sahihi?

Mlinzi wa Rais kuvaa sare za chama ni sahihi?

Narudia tena ni hivi.. Elimu yetu aitupi utambuzi ata kidogo bali inatufanya tue duni,waoga,waovu,wanafiki,wapuuzi na mandondocha lakini goi goi wa kufikiria.

WE SHALL OVERCOME
WE SHALL MISS YOU KIKWETE
Katiba na Sheria za Tanzania hairuhusu Mtumishi wa umma kuwa mwanachama wa chama cha siasa
 
Hahaha mbona hata kamanda Siro anavaa kijani kibichi, na vipi Mabeyo?!

Waacheni wavae mtajipa pressure bure.
Huwezi ukawa ccm ukafuata walinzi Chadema na hata Chadema hawawezi kulindwa na uvcc.
 
Hahaha mbona hata kamanda Siro anavaa kijani kibichi, na vipi Mabeyo?!

Waacheni wavae mtajipa pressure bure.
Huwezi ukawa ccm ukafuata walinzi Chadema na hata Chadema hawawezi kulindwa na uvcc.
Kwani CCM ndiyo hulipa kodi CCM ndiyo hutoa pato la Taifa Hazina? Walipa kodi wana uchungu hawataki pesa zao kuwalipa mishahara watumishi wa umma kisha waende kuvaa nguo za CCM
 
Wanajukwaa naomba kuuliza hili la walinzi wa Rais Magufuli kuvaa sare za CCM limekaaje?
Wazo nyuma ya hilo ni kuwa wajichanganye na hadhara usiwajue/usiwatambue.

Shida ni kuwa raisi wetu ana walinzi wale wale, kiasi kwamba watu tumeshawakariri sura zao mpaka vichogo.
 
Kwani CCM ndiyo hulipa kodi CCM ndiyo hutoa pato la Taifa Hazina? Walipa kodi wana uchungu hawataki pesa zao kuwalipa mishahara watumishi wa umma kisha waende kuvaa nguo za CCM
Hahaha mbona hizo hizo pesa za walipa kodi zinamlipa mwenyeketi wa ccm taifa, nyie mnamuita rais, zinawalipa wateule wa ccm wote, majaji, wakuu wa mikoa, wilaya, mawaziri na hata wabunge wa ccm, unadhani wao tu ndio hulipa kodi?!

Pesa za wanyonge ni sawa na pesa ya sadaka, mwenye maamuzi nayo ni anayeipokea.
 
Hapo ameenda kwa kofia ya Mwenyekiti wa CCM kwahiyo hao walinzi kuvaa jezi za kijani wameenda kama green guard na si PSU.
 
Walinzi hulipwa mishahara kwa kodi za umma ambayo ni pesa ya walipa kodi wote ambao wengi siyo wapenzi wa CCM, walinzi ni watumishi wa umma hawaruhusiwi kuvaa nguo za CCM.
Uliwaajiri?
 
Back
Top Bottom