Mlinzi wa Rais kuvaa sare za chama ni sahihi?

Wamevaa vile kama zuga tu kutokana kwamba mule ndani weng wamevaa
Kijani
 
Huyo jamaa ana mawazo ya nchi ya chama kimoja but it's already late!!
 
Awamu hii wameamua kufuta kabisa mipaka kati ya Chama na Serikali.
Naibu Rais na mtukufu hawaongozi Nchi kwa mujibu wa katiba tu wameongezea Sheria zao binafsi humo humo kwenye katiba
 
Chadema wanafuatilia mikutano ya ccm halafu unategemea tushindwe?
CCM ndio habari ya Mjini Sasa hivi Chadema wanachkua mifomu ya uraisi nobody cares

Macho na masikio nchi nzima ukiwemo Upinzani yako CCM tu habari ya mjini
 
Chadema wanafuatilia mikutano ya ccm halafu unategemea tushindwe?
Mkuu hata ccm wanavuatilia Mambo ya Chadema tena wakati mwingine kwa kumiss use resources za umma
 
CCM ndio habari ya Mjini Sasa hivi Chadema wanachkua mifomu ya uraisi nobody cares

Macho na masikio nchi nzima ukiwemo Upinzani yako CCM tu habari ya mjini
Hii ina uhusiano gani na vyombo vya dola kuvaa nguo za CCM?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…