When you are in Rome, do as how Romans do..imeisha hiyo..Ki professional ndiyo kuvaa nguo za CCM? Kwani walinzi si ni usalama na jwtz na Polisi hao wanaruhusiwa kuwa wanachama wa vyama vya kisiasa? Rais angekuwa wa chadema walinzi wasingeruhusiwa kuvaa nguo za chadema wangevaa nguo zao za ki Ulinzi acha kuja na mifano isiyo na mashiko
Serikali ni nini? Nani ni kiongozi wa serikali hiyo kwa sasa? Anatoka chama gani? Serikali iliyochini ya chama kipi ilinunua hayo magari unayoyaita ya serikali?Katiba ni mbovu sana, mambo ya kichama walinzi wa serikali wanaenda kufanya nini? magari ya serikali hapaswi kutumika kichama, kilichofanyika ni kubadili no kutoka STK na kuwa CCM
Hatuna serikali mbili na haitakaa itokee ndo maana kuna vitu lazima viwe kama vilivyo, whether u like or not..Mkuu kwahiyo Jeshi ni chama cha Mapinduzi?
Pole sana[emoji23]Katiba na Sheria za Tanzania hairuhusu Mtumishi wa umma kuwa mwanachama wa chama cha siasa
They are right[emoji1319][emoji1319]Awamu hii wameamua kufuta kabisa mipaka kati ya Chama na Serikali.
Umemjibu kwa hoja[emoji1319]Majibu ya kibavicha huwa ni povu tu siku zote
Ingekua ccm inapora kura lowassa asingepata kura milioni 6
Ccm haiwezi kutoka kwa kutumia wasanii kama mbowe au Tundu lissu
Wananchi wa nchi gan? Inayoongozwa na serikali ipi??Lowasa alishinda uchaguzi mkafanya chenji kota za lowasa mkampa mtukufu na za mtukufu mkampa Lowasa, CCM ina wasanii wengi ndiyo maana mnatumia mbinu za uchakachuaji kuwabambikia kesi kuwapiga risasi wapinzani ni kwa nini msiache wananchi ndiyo waamue wenyewe?
@MOTOCHINI hayo ya kulipa wewe unayajulia wapi? We endelea na kutoa burudani kwa wenzako!Mmesha kosa lakusema Vilaza nyie
Magereza yanajihudumia
Lazima Yatafute pesa
Wamelipwa kama wanavyo lipwa JKT wajengapo Majengo nk
Mjitambue
Hii awamu ya tano kila kitu ni new, vingine unaviangalia tuWanajukwaa naomba kuuliza hili la walinzi wa Rais Magufuli kuvaa sare za CCM limekaaje?
Mkuu tunqongelea ishu ya kichama! Walikuwa kwenye shughuli ya kichama! Akaitoka hapo kuja kwenye shughuli za kitaifa hutaona amevaa hizo nguoMkuu kwahiyo Jeshi ni chama cha Mapinduzi?
Nasikia huyo aliyevalia 'kisisiemu' ni polisi, amekuwa na mkulu tangia kipindi icho akiwa waziri wa ujenzi.Tangu lini TissCcm wawe proffesional?
Mnakera
Uzi umeunganishwa na title ya uzi imebadilika.Picha nayo umeshindwa kuelewa.