Mlinzi wa Rais kuvaa sare za chama ni sahihi?

Mlinzi wa Rais kuvaa sare za chama ni sahihi?

Labda TISS Sasa instudhibitishia rasmi kuwa wao ni chombo cha ccm na Wala si chombo cha watanzania na nchi yetu Kama tunavyojidanganya
Sidhani kama nimeshawahi kuona picha ya hao jamaa wakiwa wamevaa mavazi ya Chama kama hivi tangu awamu ya 1 mpk ya 4.

Awamu ya 5 ndio nayaona haya,hii kweli ni CCM mpya.
 
Kwa dunia ya sasa Kuna taasis inaweza kubal mtu ambaye si wa upande wao awe mlinz wa digala wa taasis husika?
Mkuu sema kwenye ulimwengu wa shithole countries na unprofessional leaders like magu but usigeneralize ulimwengu wote
 
Wenzako wako ki professional, wewe unatema pumba. Hivi Rais angekuwa wa Chadema, na hao walinzi wakavaa jezi ya Chadema ungelalamika?
Kwaiyo wewe unaona wapo ki professional kwa sababu wamevaa ki CCM na wewe ni Mwana CCM?
 
Kwaiyo wewe unaona wapo ki professional kwa sababu wamevaa ki CCM na wewe ni Mwana CCM?
Umeiona kadi yangu ya CCM hadi uniite mwana CCM? Acha kujishtukia. Wenzako wanafuata syllabus wewe unabwabwaja ujinga hapa.
 
Mkuu unavotokwa na povu hvo!unajua sheria za hao 'tisi' kuhusu dressing code yao?

Haya unayejua dressing code ya TISS hemu tujuze....!!As far as Civil servant ethics is concerned huyo Bwege hapashwi kuvaa sare za CCM....!!
Jiulize hivi: Iwapo Uchaguzi wa Rais mwaka huu 2020 Rais hatatoka CCM say atatoka from ACT-Wazalendo,Je, huyo mlinzi atavaa sare ya ACT-Wazalendo?
 
Maendeleo hayana chama Hawajui hao

Hiyo lugha ya maendeleo hayana Chama ni propaganda tu! Maendeleo ni ya CCM ya Magufuli kwa mujibu wa Jiwe!!
Hata Leo hii kikiingia Chama kingine maendeleo yatayopatikani ni ya chama kitakacho shika dola!
 
Chadema Ni hopeless wanavaa magwanda ya mgambo na kujiita makamanda wakati hata mgambo hawajakanyaga hawajui hata ABC za jeshi!! Wasamehe bure.Mambo ya Jeshi hufundishwa jeshini iwe mgambo,Jkt ,polisi, JWTZ nk sio jamii forums.Wasamehe bure waache waendelee na ubwege wao wa kujiita makamanda na kuvaa nguo za mgambo wakati mambo ya kijeshi wako zero
Duuh unayo sema kwa wenzio ilibidi ujiseme hivyo mwenyewe, kwahiyo huyo askari kavaa vazi la CCM ili kujificha dhidi ya maadui?
Kusomea ujinga ni jinai kumbuka
 


Ki protoko hii sijaelewa nijuavyo tiss ipo chini ya rais(cheo) na Wala si chama lakini kwenye video hiyo mlinzi wa rais kautwika mjezi wa CCM!!.. amesimama kushoto.. ukitoa msaidizi wake ndo kavalia kama anavyovalia..

Hii mbona inaleta walakini ndani yake!.. ama ndo kusema ni sehemu ya ulinzi!!.. nijuavyo shughuli za ulinzi ni ulinzi tu na si uchama!!..

Hili jambo linahitaji ufafanuzi mpana maana linaweza kutafsiriwa ndivyo sivyo!..

Nini nyuma ya pazia ya walinzi hawa kujiveka u CCM..??
 
Nami nimejiuliza sana hili swala ..wajuzi ebu tujulishane inawezekana kuna sehemu ilishajadiliwa hili ila wengine hatujaona izo post
 
Back
Top Bottom