Mlio karibu na Tundu Lissu mumkanye aache mara moja kuropoka ropoka!

Maneno mengi porojo tupu.
 
2024 tu kuivuka ngumu sana shekhe pole yako utabaki yatima na utabadili ID
 
huyu maza yenu mwenye diploma ya cherehani ndio presidential material???
 
Lissu anafaa kuwa raisi. Nimemfuatilia sana huyu mtu. Hapendi uonevu anapenda watu wapewe haki. Nilishangaa sana hata wakati mimi nafurahia Sabaya kuwekwa ndani bila kupelekwa mahakamani, Tundu Lissu alipiga kelele kwamba Sabaya hatendewi haki. Nilishangaa sana.
 
Lissu chukua nondo hizi

Sent from my TECNO KB8 using JamiiForums mobile app
 
Duuu, yaani Tundu Lissu anahongeka!!.
 
Toa nfano wa kauli alizoropa tofati na hapo umeandaka taarabu tupu na kanga moko,changamoto zilizopo zimesababishwa na ccm kukaa madarakani kwa wizi wa kura,Lissu aliibiwa kura zake alimzidi jpm mbona usemi?

Changamoto zilizopo zimetokama ccm kuiba kura zitatatiliwa baada ya ccm kuondolewa madarakani kwanguvu.
 
Wewe mwenyewe uliyesikia akiropokaropoka ndiye uliye karibu muonye na wale ambao hawajasikia ina maana wako mbali naye. Right?
 
Binafsi huwa ninamshangaa sana ndugu TL....

Anaamini ni rahisi kufanya "cheap politics" kwa kuropoka mbele ya "ordinary citizens".....

Hana hata hoja moja ya mashiko juu ya kuhamishwa raia pale Ngorongoro.....

Ngorongoro si tu makazi ya wamasai bali ni TURATHI YA DUNIA...ndugu yetu ni "sarcastic"?!!! [emoji15][emoji15][emoji1787][emoji1787]

#SiempreJMT[emoji120]

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Kwa sasa chawa mko kwenye panicking mode. Lisu ashikilie hapohapo, chawa mmeeanza kunyoosha maelezo baada ya honey moon kuisha.
Ukweli husemwa na yeyote....

Ndg.Tundu Lissu anafanyia siasa ndani ya turathi ya dunia.....si suala la wamasai tu....ni la watanzania...maisha yao na utalii....ni la kilimwengu....

Wale waliohamia Msomera Handeni ni wapumbavu ?!!![emoji15][emoji15][emoji1787]

Watu walihamishwa makwao kwenda vijiji vya ujamaa....hili lilikuwa ni la hiyari ?!!!

Tundu Lissu anafanya siasa zake kwa faida ya nani ?!!!!

Alipinga ujenzi wa bwawa la kufua umeme la mwalimu Nyerere kwa sababu dhaifu za uharibifu wa MAZINGIRA....Mbona sababu zilezile ndizo ziko upande wake hapo Ngorongoro?!!!

Hakika hii ni "sarcasm" [emoji1787]



Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Bosi huyo ni nani ?!!

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…