Mlio karibu na Tundu Lissu mumkanye aache mara moja kuropoka ropoka!

Kwanza kwanini utumie TECNO F1 kiongozi [emoji16][emoji1787][emoji1787] wew ni maskini kuanzia akilini hadi chini ya makalio ukijibu basi jua unalambwa na wenzio chawa mkubwa wew
Unatutukanisha waafrika [emoji1787][emoji1787]

Kwa hiyo kipimo cha mizani ya hoja ni simu kuwa ya gharama kubwa ?!!! [emoji15][emoji15][emoji1787][emoji1787]

Kwa hiyo maskini hana hekima wala busara ?!!![emoji1787]

Hivi shule ulikwenda kusomea "ushoouuugeeer"?!!!

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Wewe na Tundu Lissu sioni tofauti, kwa andiko lako unataka kutuaminisha kuwa wewe uko sahihi.
 
Punguza makasiriko
Wewe mmoja huwezi kutufanya wewe ndio mwenye uelewa kuliko WaTz wote.
Usitukeleleshe na kutujazia server.

Weee ndio mropokaji
How about that?

Lissu kanyaga twende achana na wanywa vimpumu

Thread ndeeeefu upulusi mtupu
Uropokaji kama huu hapa;

"...Mwiba Holdings imehongwa zaidi ya hekari milioni 2 huko mkoani SIMIYU [emoji1787]

Ukubwa wa hekari hizo ni eneo la mkoa 1 tu ?!!! [emoji15][emoji15][emoji1787]

Mashabiki wa TL ni mazombi...

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Mbona wengine wamekubali kwenda Msomera Handeni?!!

Ni wapumbavu?!!

Ngorongoro ni turathi ya dunia....pia ni ya watanzania na si wamasai tu....

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Si kweli.
Ngorongoro ni ya Wamasai.
Wamasai wameishi hapo na ndio ecology pekee ambayo wanyama wanachanganyika na binadam bila tatizo wala hatari ya ujangili wa wanyama.
Unaweza nipa sababu tatu za kuwahamisha ukiacha blabla za mazingira ambazo zinatokea kila mahali?
 
Nini haswa maana ya neno "kuropoka" halafu tuanze kujadiliana bila kuhemka.
 
Kwani iwe Ngorongoro na isifanyike Serengeti,Burigi,Same,Tarangire,Mikumi,Katavi,Ruaha na sehemu nyingine zenye hifadhi?
Daaah [emoji1787][emoji1787]

Ngorongoro unakufananisha na Katavi ,Burigi na kwengineko ?!!!

Ngorongoro ndiko inakopatikana "caldera" kubwa kuliko zote duniani ,upo ?!!

Ngorongoro ina wanyama wengi ambao sehemu nyingine wametoweka na hawapatikani uko ?!!!

Hivi shule mlikwenda kusomea "upungeeer"?!!!

Haya "napungeeer"[emoji106] ,nawe pungeeer basi....

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Naona unajitekenya na kucheka mwenyewe like stupid idiot..

Lini Tundu Lissu kakuambia anataka kuwa Rais wa nchi hii kiasi cha kusema "he's not presidential material?".

As far as I know Tundu Lissu, ni kuwa, kwa ujumla wake jamaa [Tundu Lissu]ni mwanasheria mbobezi, mwanaharakati na mpigania haki za binadamu na mzalendo kwelikweli wa nchi hii ya Tanganyika kuliko wewe Rutashubanyuma ambaye kiuhalusia kupitia maandishi yako haya yanaonesha kuwa uelewa na ufahamu wako wa mambo uko chini ya wastani na inaonesha unapigania tumbo lako tu (ubinafsi).!!

Watu wa namna ya Tundu Lissu huusema uovu wa watawala straight bila kupepesa macho wala kumung'unya maneno au kuupaka paka rangi na huwa wako tayari kwa lolote. Watu wa namna wako kote duniani na ktk kila nchi...

Kwa watawala waovu kwao watu wa namna hii huwaita ni "watu wanaozungumza bila staha" na pengine watukanaji. Yaani kwao wakiiba au wakisaini mikataba ya kitapeli na kifisadi kama wa DP World na bandari zetu, basi useme "kula kwa urefu wa kamba" na usiwaite mafisadi, au wezi maana kwao huko ni kuwatukana..!!
Wewe nawe ni "sarcastic"?!! [emoji15][emoji15][emoji1787]

Hivi TL ni mkweli ?!!!

Hapa anasema kuwa ,Mwiba Holdings imehongwa zaidi ya hekari milioni 2 huko Simiyu [emoji1787][emoji1787]

Hekari milioni 2 ni mkoa mmoja?!!!

Kweli amewashika akili....

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
huyu maza yenu mwenye diploma ya cherehani ndio presidential material???
Kama ni hivyo hata TL hafai kuwa Rais....vigezo wangeviweka "uprofesa" nguli....

Wewe ni "sarcastic"?!! [emoji1787]

Kweli Tundu Lissu amewashika akili misukure koko [emoji1787]

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Huko nyuma tuliwahi kumchambua Tundu Antipas Lissu na kuhitimisha siyo presidential material.

Amekuwa akiropoka ropoka hovyo bila kupima athari za kauli zake na mbaya zaidi mbali ya kunyanyapaa wapinzani wake wa kisiasa pia hana majibu ya matatizo yaliyopo.

Ukikosoa kwamba mkakati huu haufai njoo na mbadala wake.

Yeye kwa mtazamo wake anajidanganya ataaminika kwa kukejeli jitihada za wenzie kutatua matatizo na hivyo ataaminika kuwa ana majibu sahihi!

Hatuendi hivyo hata chembe.

Ukikosoa lazima utupe mbadala au kaa kimya.

Tutaangaza mambo mawili.

Mara nyingi nimeshauri shida yetu siyo katiba bali sheria zilizotungwa kutimiza azma ya katiba.

Vuguvugu la katiba mpya limeshindwa kabisa kuona hilo.

Matokeo yake nguvu nyingi inapotezwa kwenye jambo ambalo halina mushkeli.

Ukiisoma vizuri katiba yetu hakuna mahali panasema wakurugenzi wa majiji na Halmashauri wasimamie chaguzi zetu. Hilo utalikuta kwenye sheria za uchaguzi. Sasa hapo tatizo ni katiba au sheria za uchaguzi. Katiba iko wazi ya kuwa Tume ya uchaguzi itasimamia chaguzi zetu sasa kosa la katiba liko wapi?

Ukija swala la kuhamishwa kwa wamasai wa Ngorongoro ni kuwa hoja za Tundu Lissu hazina mashiko hata chembe.

Kulinganisha athari za tembo au nyumbu na wamasai ni kutojua kiini cha tatizo.

Idadi ya wanyama haibadiliki sana kutokana na changamoto wanazokutana nazo lakini wamasai wa tarafa ya Ngorongoro wanakabiliana na mambo tofauti.

Idadi ya wamasai ya mwaka 1959 wakati mkoloni anawapatia hiyo tarafa walikuwa takribani elfu 9 tu leo tunaongelea wako zaidi ya laki moja.

Idadi ya nyumbu au wanyama wengine ya mwaka 1959 na sasa hazina tofauti kubwa kwa hiyo hakuna madhara kwa mazingira kutokana na uwepo wao.

Hivyo, Tundu Lissu anapolinganisha athari za wanyamapori na wanadamu anathibitisha hajui analoliongea.

Wamasai wa mwaka 1959 hawakuwa wanajenga kwa simenti na mabati bali walikuwa wanatumia kuni na kusiliba na vinyesi vya ng'ombe ni dhahiri athari za kimazingira ni kubwa kwa makazi ya wamasai wa leo ulilinganisha wakati wa mkoloni.

Kuhusu khoja yake ya ujenzi wa mahoteli anasahau upo mpango wa kuthibiti idadi ya mahoteli ili yasiathiri mazingira na kubwa zaidi Ngorongoro ni hazina na urithi wa dunia siyo wa wamasai na watanzania pekee yetu. Hivyo mbali ya hoja ya mapato ni muhimu watalii waweze kufika, kutembelea na kusitirika wakati wakiwa kwenye maeneo hayo.

CHANGAMOTO ZILIZOJITOKEZA.

Yapo makosa yaliyofanyika ya kuwahamishia wamasai Handeni wakati ukiachana na Tarafa ya Ngorongoro yenye misuguano mikali kati ya mwanadamu na mazingira zipo kata mbili ndani ya wilaya ya Ngorongoro ambazo hazina haya.

Tarafa hizo ni za Sonjo na Loliondo. Swali ambalo kamwe serikali haitakaa kuzijibu ni kwanini wahamishiwe Handeni badala ya Sonjo na Loliondo?

Handeni ni ukame na hakuna malisho na pia ipo migogoro ya ardhi. Sasa ukakasi wa kuwahamishia tarafa tajwa unatoka wapi ambako kimazingira ni sawasawa tu na Tarafa ya Ngorongoro.

Huo ndiyo mjadala tungependa tuwe nao siyo tulee matatizo ambayo yanaendelea kukua bila ukomo. Maeneo ya wanyamapori yasipolindwa tutahatarisha hata maisha yetu. Vianzo vya maji, misitu na uoto wa aina zote hutegemea uwepo wa wanyamapori na ongezeko la idadi ya watu, kilimo na makaazi ni tishio ya maisha ya mwanadamu.

Kwa hiyo, tunahitaji kuwalinda wanyamapori ili kuyalinda maisha yetu wenyewe kwani upo uhusiano wa moja kwa moja kati ya uwepo wetu na wanyamapori.
Sisi tunakuonya wewe uache kujitia vidole matakoni kwako!
 
MBona hangaya anaropoka zaidii yake hamumkanyi au kwasababu anadola
 
Mlio karibu na wakuu waambie wao ni custodian wa raslimali za Nchi na sio wauzaji watambue hilo!
 
Toa nfano wa kauli alizoropa tofati na hapo umeendaka taarabu tupu na kanga moko,changamoto zilizopo zimesababishwa na ccm kukaa madarakani kwa wizi wa kura,Lissu aliibiwa kura zake alimzidi jpm mbona usemi?

Changamoto zilizopo zimetokama ccm kuiba kura zitatatiliwa baada ya ccm kuondolewa madarakani kwanguvu.
Uropokaji kama huu;

"...Mwiba Holdings imehongwa zaidi ya hekari milioni 2 huko mkoani Simiyu "[emoji1787][emoji1787]

Hekari milioni 2 ni mkoa mmoja ?!!!

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Si kweli.
Ngorongoro ni ya Wamasai.
Wamasai wameishi hapo na ndio ecology pekee ambayo wanyama wanachanganyika na binadam bila tatizo wala hatari ya ujangili wa wanyama.
Unaweza nipa sababu tatu za kuwahamisha ukiacha blabla za mazingira ambazo zinatokea kila mahali?
Kabla ya hizo sababu 3 unazonitaka nikupe....kubali Kwanza hoja ya "uharibifu wa mazingira" na kutishia watalii....

Back
Top Bottom