Mlio karibu na Tundu Lissu mumkanye aache mara moja kuropoka ropoka!



Hivi unafikiri utaweza kumbadilisha Lissu kwa vijimaneno! Tafuta mwanasiasa yeyote ambaye katishiwa hata kupigwa risasi na leo yupo anaongea na watu!
 
Tundu Lissu na Magufuli wanafanana sana, japo wanachukiana sana pia

Wote wanajiona wanajua kila kitu na hakuna anayejua zaidi yao, na wapo tayari kudhalilisha watu ili kujipatia sifa kutoka kwenye kundi la watu
Walau wewe umetumia akili kubwa kuja na jibu ambalo wengi hawawezi litafakari.
Kama kuna madhara yalifanywa na Magufuli badi ya Lissu yanaweza kuwa ya Firauni!
 
Tundu Lissu impact ya hoja zake ni kubwa sana na mwitikio wake ndiyo unaowatesa wafunga tela.

Issue ya Loliondo inazaidi ya miaka 30 hakuna suluhisho,halijaisha Hilo inaibuka Ngorongoro bado mtasema mama ni presidential material,hivi kati ya Lissu na Samia nani anaropoka!

Nilidhani anachokiibua Lissu ndiyo watchdog kwa serikali ku takeover those obstacles. Lakini kwa kuwa serikali ilikwisha oshiwa mbinu za utatizi wa migogoro inabaki kuwabwekea wale wote kuficha udhaifu wao.

Ili CCM iwe sawa na moja ya jukumu lake kama chama tawala ilipaswa kuisimamia serikali yake,kwa kuanika mapungufu yake na kuibana serikali kama ANC inavyofanikiwa huko south Africa.

Uwezo huo unakwamishwa na Mwenyekiti wao ambaye ana nguvu ndani ya serikali na ndani ya chama,kiufupi ana wamudu.
 
Atakosa hata anachokitafuta maana hana staha Wala hana akili ya jinsi ya kukitafuta.
 
Idadi ya wamasai ya mwaka 1959 wakati mkoloni anawapatia hiyo tarafa walikuwa takribani elfu 9 tu leo tunaongelea wako zaidi ya laki moja.
Hizi ni Taarifa potofu.

Kwanza, Idadi hiyo ya watu elfu tisa unayoidai inatoka wapi? where is your source?.
Pili, ni upotoshaji kudai walipewa eneo hilo na wakoloni.

Dhana hii ni potofu, kwamba wakoloni ndio waliotoa maeneo kwa ajili ya makazi n.k kwa Waafrika kana kwamba waliwaokota mahali pengine na kuwapeleka maeneo wanayotawala. Hii ni mbali na wale waliowabaka na waliokuwa wakilazimishwa kubeba wazungu na mali zao(mizigo) wakiwa wanazurura Afrika ambao wengi wao hawakurudi the place of origins.....kama vile wabemba wa Congo Zanzibar

Unawadanganya Wananchi.
 
Uropokaji kama huu;
Hebu ficha ujinga wako wa kuhatamia thread zinazokuzidi kimo...kumbuka hii ni JF, home of great thinkers!
"...Mwiba Holdings imehongwa zaidi ya hekari milioni 2 huko mkoani Simiyu "[emoji1787][emoji1787]
Mh. Tundu Antiphas Lissu alitaja ekari (acres) na si hekari.
Kwa kukuelimisha tu eneo la kilomita moja za mraba ni ekari 250.
Hivyo ekari milioni 2 ni sawa na eneo la kilomita za mraba 8,000 (90X90)
Mkoa wa Simiyu una eneo la kilomita za mraba 25,000 (150X150)
Hekari milioni 2 ni mkoa mmoja ?!!!
Acha upumbavu wa kutujazia jamvi letu pendwa kwa ujinga wako.
Rudi shule lakini nakuapia hata ukitambika huwezi kumfikia Mh. Lissu.
 
Kipi ameropoka
 
Wewe mwerevu unarukaruka tu....

Ni kweli Lissu ameongelea EKARI na si HEKARI.....

Sasa wilayani Meatu kuna EKARI MILIONI 6(Tundu's allegations)?!!![emoji15][emoji1787][emoji1787]

Meatu ina eneo la kilomita za mraba 4253 ambazo ni EKARI 425,000....

Huuoni UONGO wa Tundu Lissu ?!!!

Shule ulikwenda kusomea "ungeseeerrrrrr"?!!! [emoji1787]

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Wewe mwerevu unarukaruka tu...
Katika mitandao kuna kitu kinaitwa etiquette...huwezi kuhatamia mada kama kuku anayehatamia vifaranga...ni ushauri tu!
Ni kweli Lissu ameongelea EKARI na si HEKARI.....
Kwanza chutama, au huna tofauti na yule mfalme aliyeamini kavaa kumbe! Huwa siwajibu wapuuzi wa aina yako. Take this as a win if that will quench your sadistic thirst for blood!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…