Kikubwa kilichoko hapo kwenye mchoro ni kuwa siku ya kina mama, watoto wanakwenda home na kupiga picha na mama kisha wanaondoka na kumwacha peke yake.Hii hatua Mungu akijalia wengi watapitia, unaachwa peke yako watoto wote wanaondoka...
Hongereni mama zetu espy Nalendwa Jovitha Heaven Sent Numbisa na wengine wote
Amen, Mungu atujaalie kwa wakati wake. Ila ndo wakianza kuondoka roho inaumaje tena.Hii hatua Mungu akijalia wengi watapitia, unaachwa peke yako watoto wote wanaondoka...
Hongereni mama zetu espy Nalendwa Jovitha Heaven Sent Numbisa na wengine wote
Hii hatua Mungu akijalia wengi watapitia, unaachwa peke yako watoto wote wanaondoka...
Hongereni mama zetu espy Nalendwa Jovitha Heaven Sent Numbisa na wengine wote
Habari ya siku mkuuWatu wajanjaa akiona kazeeka zeeka anafungua mpya.
Hilo tumbo ni ugonjwa ama?!!!
Shikamoo mamaHilo tumbo ni ugonjwa ama?!!!
Kwakweli its about time tufungue mpyaaaaa, za 2017 alafu nakuwa nina only 23yrs, nshomile lazima auvae mkenge.
Mimi ID yangu ni hii hii na nipo active vizuri tu labda hatujagongana, sina hofu mmama mimi. Kuna watu wazima wenzetu wengi tu wanatupenda sisi wamama because of our age, tupo mature. a.k.a old wine lol
Hakuna namna zaidi ya kujipa promo, maana akina RRONDO wanavyotunanga na uzee wetu!!
Hahahha sasa hamtoonana nje ya jf? Maana sio mtu ajue anakutana na katoto kabichi only kukutana na bibi kigagula
Hivi unajua ni watu kibao wanatamani kufikia ukigagula, ni kwa neema tu. Sisi tunashukuru kwa kweli
Marahabaaa mwanangu, u-jambo?Shikamoo mama
Sijambo kabisaMarahabaaa mwanangu, u-jambo?
Amen.Hivi unajua ni watu kibao wanatamani kufikia ukigagula, ni kwa neema tu. Sisi tunashukuru kwa kweli
AMEN!!!! Nimefunga na machoHivi unajua ni watu kibao wanatamani kufikia ukigagula, ni kwa neema tu. Sisi tunashukuru kwa kweli
Kweli joanah?Haahahh
Fuatilia mwandiko
Mwandiko wa mtu unagundulika kirahisi
Bibi kizee/ajuzaKigagula kwetu ni mchawi....huko kwenu ina maana gani?