Mliobahatika kuhudhuria interview za TRA utumishi, tupeni mrejesho

Mkuu kama unayakumbuka maswali yote haya bila shaka umo miongoni mwa watakaobahatika kuchaguliwa!
 
Naona kama wamewalegezea sana, sijui mnalalamika nin vijana?
 
Kama na mtu wa Evonomics walimuweka kundi moja na mtu wa Taxation hapo pagumu aisee lazima alalamike
Walikuwepo wengi tu,akiwemo mshikaji wangu tulisafiri nae pamoja,baada ya pepa niliona kakosa raha kabisa.
Ili ujue ile pepa ilikia noma,kila aliyekua anatoka kwenye venue alikua anatafuta usafiri wa kurudi mkoani kwake.hakuna ile kukaa Dodoma sijui kusubiri majibu ya oral.
 
Pepa ilikuwa mti kweli kama ndio haya najua mtu fidenge hatoboiπŸ˜…
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…