Mliokasirishwa kuhusu Rais Samia kutoa msaada Uturuki hii sio awamu ya Magufuli

Nimejiuliza inawezaka azam ndio kamshauli mama[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kwakifupi ni taila?
Na waweza kuta hajui ata kula nini jioni yaleo yuko anashingilia msaada kutoka mamaake mkubwa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hii ndio nchi yangu sa nitafanyaje jamani
 
Wewe jamaa una IQ kubwa sana tatizo unaejadiliana nae ni kilaza kwahiyo hamuwezi kua sawa kifikra na maono. Nadhani mjadala umeumaliza tayari.
 
Narudia tena kuwa chadema walikuwa wapingaji wa kila kitu toka kipindi cha Kikwete, wakati wa Magufuli ndio wakazidi kabisa. Sasa toka afariki Magufuli wakosoaji wa sasa wanaitwa sukuma gang yani siku hizi hakuna tena chadema bali ni sukuma ndio ambao wanakosoa tu hawampongezi Rais tofauti na Chadema ambao si tu hawapingi kila kitu kama zamani bali kukosoa wamewaachia sukuma gang kabisa.
 
chadema walikuwa wapingaji wa kila kitu toka kipindi cha Kikwete, wakati wa Magufuli ndio wakazidi kabisa.
Basi itakua ulikua sukuma gang maana majority ya waTanzania wanajua Chadema ni chama Cha upinzani and obviously watapinga sera mbovu za CCM.
Sasa toka afariki Magufuli wakosoaji wa sasa wanaitwa sukuma gang
Wanaitwa hivyo sababu ukisoma post zao humu walikua wanamsifia sana JPM akiwa Rais mfano takwimu za TRA, ujenzi wa miradi n.k ila mambo hayo hayo yakifanywa na Samia utasikia takwimu za uongo, mara sijui miradi unapigwa Hela hata kama umemalizika!! Hiyo double standard Yao ndio imetufanya tuseme wanapinga Kila kitu.
tofauti na Chadema ambao si tu hawapingi kila kitu kama zamani bali kukosoa wamewaachia sukuma gang kabisa.
Sio kweli, tatizo wapinzani wakikosoa utawala wa JPM haraka haraka mnasema wamelamba asali as if mmeambiwa yeyote anayemchukia JPM basi anampenda Samia!! What the hell?? Msifungamanishe haya mambo otherwise tafuta thread zote zinazoongelea mikopo, bando, gharama za maisha, na teuzi uniambie wapi Kuna mpinzani kamsifia Mama Samia ukipata hata moja najiondoa JF.
 
Mhhh mama ndo nani?
 
Ni wapuuzi wanaokandia serikali kusaidia Turkey kwenye maafa yaliyowakumba.

Kutoa ni moyo usambe si utajiri.

Uturuki imekumbwa na maafa ya kutisha nini mbaya TZ kuwapa mkono wa Pole?
 
Ni juzi tu hapa tukaambiwa serikali haina budget ya kutosha kukopesha wanafunzi wote wenye sifa ya kukopeshwa na loarn board hivyo wakakopeshwa nusu. Leo tunapeleka msaada utiruki. Ngozi nyeusi ni shida
 
Sasa unakopa halafu mkopo unatoa msaada kwa wengine?
 
Napenda aikumbuke Syria, imekuwa na uhitaji zaidi, suala la ubinadamu si vinginevyo!
 
Kama rambirambi tuu za watanzania waliojitolea kwa wahanga pale kagera walikula zote ndo waje wafurahii pesa za wahanga wa tetemeko uturuki?
 
Yani bado unazungumzia kukosoa utawala wa JPM? Ndio maana nasema sasa hivi sukuma gang ndio wapinzani maana ndio wenye kukosoa utawala uliyopo.
 
Ni wapuuzi wanaokandia serikali kusaidia Turkey kwenye maafa yaliyowakumba.

Kutoa ni moyo usambe si utajiri.

Uturuki imekumbwa na maafa ya kutisha nini mbaya TZ kuwapa mkono wa Pole?
Kumpa mtu kitu pale ambapo hakuwa na huo uhitaji sidhani kama ni sahihi kuita msaada.
 
Yani bado unazungumzia kukosoa utawala wa JPM? Ndio maana nasema sasa hivi sukuma gang ndio wapinzani maana ndio wenye kukosoa utawala uliyopo.
Kipindi Cha JPM Kila aliyekua anamkosoa mlisema ni fisadi wa enzi za JK sijui Team Msoga kwani Rais alikua JK? Wembe ule ule mliomnyolea JK ndio unatumika kwenu.

So vumilieni tu maiti yenu ikikosolewa.
 
Kumpa mtu kitu pale ambapo hakuwa na huo uhitaji sidhani kama ni sahihi kuita msaada.
Nani kasema Hana huhitaji? Kwani matajiri huwa hawapewi salamu za rambirambi? Au umewahi ona harusi ya tajiri watu hawatoi zawadi kisa ana pesa?

It's economic diplomacy maana Turkey ni business partner. Haya mambo kama ni sukuma gang huwezi elewa.
 
Kipindi Cha JPM Kila aliyekua anamkosoa mlisema ni fisadi wa enzi za JK sijui Team Msoga kwani Rais alikua JK? Wembe ule ule mliomnyolea JK ndio unatumika kwenu.

So vumilieni tu maiti yenu ikikosolewa.
Unakosoa maiti na kuwaacha waliyohai? Hii inaonyesha hamkuwa mkimkosoa kwa maana ya kukosoa na hapo hiyo hoja ya mafisadi wa enzi za JK ndio inapata nguvu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…