Mlioko Dar naombeni muongozo. Maisha yakoje huko?

Mkuu nauliza ili nipat muongozo nijue pakuanzia
Wenzako wanaulizia taarifa za sehemu watakayokwenda miezi 6 kabla ili wafanye maandalizi. Wewe upo kwenye basi njiani unakuja unataka kukuelezee mazingira ya Dar ili uweze kubadili au kujiandaa na nini ukiwa ndani ya basi?

Wee njoo tu utakachokutana nacho ndicho ulichokifuata na ndicho utakachokwenda kuhadithia ndugu zako huko kijijini.
 
Aise Kalibu pande za mabibo,hila hapo kupo fresh usafili pand zote unapata,kwa mpambanaji nakushauli hish mabibo,chumba bei powa, chakula soko la mabibo lipo chakula bei pow,hapo teyali ushafanikiw hila kuwa makini na mahusiano ya kimapenz,
Aaaah nashukuru mkuu
 
Nashukur mkuu kwa mwongozo
 
Aah mkuu kwetu so kijijin
 
Unaona hao wawili
Wote wana digrii ya chuo
Mmoja wa mbele alitunza boom lake kaanzisha gali lake
Huyo wa nyuma, alikuwa anatuma na ya kutolea kwa milupo


 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…