Mlioko Dar naombeni muongozo. Maisha yakoje huko?

😁😁😁 mbona unamtisha
 
Mm mwnyw ndoto zangu siku moja nifike Dar, kila nikiangalia tv hua navutiwa na muonekano wa dar.
Kabla cjafa aisee lazima nije Dar japokuwa sijui nitafikia wapi mana sina hata ndugu huko.
hii n mara ya pili naona hii comment yako. kuna uzi pia ulicomment hv nikadhan utani kumbe uko serious. nkwambie tu, yale mazngra unayoyaona kwny TV ni ya wachache. watu wengi dar wanaish kwny vijumba vilivyochakaa, bati ina kutu, hata kula yao ni shda.
 
Aise Kalibu pande za mabibo,hila hapo kupo fresh usafili pand zote unapata,kwa mpambanaji nakushauli hish mabibo,chumba bei powa, chakula soko la mabibo lipo chakula bei pow,hapo teyali ushafanikiw hila kuwa makini na mahusiano ya kimapenz,
mwambie kabisa kwamba mabibo ni dampy area. kipindi cha mvua chumbani kila kitu kinakua na unyevu nyevu na kuna baadh ya mitaa mvua ikinyesha maji yanaingia ndani kabisa.
 
Eh bc mm ntakuwa naona mazingira ya mjini na sio maisha ya uswahili
 
Unauliza habari za sehemu wakati upo njiani unakuja?πŸ€” We fika utajua huku huku na kiherehere chako cha kuingia msalani bila maji huku umebanwa na tumbo la kuendesha.
Aaah hii haina come back πŸ˜‚πŸ˜‚
 
watu wanakula mpaka utumbo wa kuku vichwa na miguu, ndiomaana kina abdul wanaendesha hadi mabentley huko wao wanawasifia tu na kuwashangilia. The more shits you eat the more poor you become.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…