Mlioko kwenye ndoa naomba ushauri hasa wanawake: Nilifumaniwa na mtoto wangu wa kiume

Halafu kuna mbwa atakuja kunishauri nioe ....!!!
Yaani huyu ana ....
1. Kazi ya Wizara yenye mshahara
2. Ana biashara anaendesha
3. Amesoma
4. Anapendwa na mumewe
Ila kaamua kutomban-a nje.

Yaani pamoja na vyotee alivyofanyiwa na mumewe ...
Yaani pamoja na vyotee alivyopewa na mumewe ....
Ila ALICHEPUKA na ANACHEPUKA.

Wanaume mlioa POLENI SANAA.

Endeleeni KUZIKUMBATIA SHIDA.

#YNWA
 
Kumbe haya mambo hayajaanza leo?!
Halafu cha ajabu kuna watu bado wanaoa
 
Dogo atakuja kufanya uamuzi wa kushangaza taifa!
Nyie ndiyo mnang'olewa meno kwa pliers.
 
ki umri una miaka kama 43 ama 45 hivi...??? mwanao anakupenda sana na anakuheshimu sana, shukuru kuhusu hilo... mtengenezee misingi ya kuwa mtu mzima... atakuelewa
 
Huyo dogo hatakua na imani tena na mwanamke yeyote kama tu amemuona mama ake anavyocheat live live, mwanamke gani tena atamuamini.. hata ningekua mimi ningekuchukia tu
 

Duuuh hii ngoma ipo nje ya uwezo wangu, ngoja nisishauri chochote, nikae kimya tu.
 
"..Jimama hilo.." linasikia utamuuuu...🎢🎀
 
Mimi ndiyo huyo mhuni Sasa nilikuwa namnyonya denda dada yako, Tena nilivyo kuona unakuja nikazidisha maufundi ili uzidi kununa..... πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜
 
Umri wa mtoto alipokushuhudia mkifanya yenu ni umri hatari sana. Ndio umri wa kumpenda au kumchukia mtu.

Akimpenda mtu katika umri huo pengine akampenda katika maisha yake yote na akimchukia mtu katika umri huo pengine akamchukia katika maisha yake yote.
 
Mimi ndiyo huyo mhuni Sasa nilikuwa namnyonya denda dada yako, Tena nilivyo kuona unakuja nikazidisha maufundi ili uzidi kununa..... πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜
Hata sikuwa natembea mkuu, nilikua napepesa macho ghafla bin vuu namuona mrumi(mseminaristi, sijui Kama alifanikiwa kuwa padri) anampiga kiss Dada na kumshika japo sister alikua anajipambanua atoke. Yule jamaa alikua anakuja home kutufundsha kuanzia hapo nilimuona muhuni tu.
 
hiyo kitu ni kubwa sana usithibutu kuongea popote kaa nayo hivy hivyo na mwanao hadi myamalize na akikusemea kwa baba yake kataa kata
ukithubutu kushirikisha watu utakuwa umejimaliza mwenyew na umalaya wako
 
daaaah huyo Jamaa ni mhuni, yaani alikuwa anawafundisha...? Kumbe alikuwa anamtaka dada yako...πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ Mambo ya kizungu hayo mkuu....
 
Dah,
Iko hivi hakuna kitu inauma kama mtoto wa kiume kumuona mama yake anafanya ufuska huo,

Kiukweli hilo jambo halisameheki,Im sorry to tell you but halisameheki.


Anayeumia na kutafunikika kila siku ni huyo mtoto,anaweza kufa kabla ya muda....

Hawezi muambia baba yake ila umemuweka mahali pabaya sana kisaikolojia


Siwezi kukulaumu moja kwa moja,watu hucheat ila tu umejisahau my dear, dukan kwako sio sehem ya kutapakaza shahawa,tena za malaya mwenzio.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…