Mlioko kwenye ndoa naomba ushauri hasa wanawake: Nilifumaniwa na mtoto wangu wa kiume

Hizi thread za kuwacheat waume zenu mkikamatwa mnakuja kulia lia humu mbona nyingi sana siku hizi? Ni kama mko proud na mnachokifanya sio?

Kiukweli pambaneni na hali zenu, binafsi sinaga ushauri kwenye mambo kama haya.
Jorani, binafsi nimejikuta naumia kana kwamba mimi ndio muhusika.
Anyway, kwakifupi huyu mama amemuaribu mtoto wake kwa mikono yake. Na hata ikitokea mume wake akija kujua kamwe bado mtoto hatoweza kumsamehe mama yake kwa upuuzi huu.
Katika jambo ambalo watu wengi hawalijui ni kwamba mtoto wa kiume anawivu sana kwa mama yake, hata mama yake anapo olewa na mwnaume ambae sio baba yake bado kijana hua anaumia kwa mwanaume mwingune ambae sio baba yake kumkula mama yake.
Huyu mama ameolewa, lakini ni malaya kama malaya wengine tu.
 
Weeee thubutu, usijaribu dadaangu, huyo mtoto ulishamuomba msamaha sana....kama hataki we acha tu

Sent from my SM-T585 using JamiiForums mobile app
 
Hua nasema siku zote hapa kua

#Uzinzi haujawahi kumuacha mtu Salama#
 
daaaah huyo Jamaa ni mhuni, yaani alikuwa anawafundisha...? Kumbe alikuwa anamtaka dada yako...πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ Mambo ya kizungu hayo mkuu....
Mhuni sana nilivyokuwa dogo nlikua najua waseminari hawawaki tamaa na vile Kila asubuhi alikua anaenda ibada nikawa namuona mtakatifu huyu hapa, kumbe kujitolea kwake kufundisha kulikuwa na sababu. Sijui kilitokea nini lakin baada ya ile siku sikuwahi kumuona tena.
 
Mimi nimeweza kutunza siri ili nisivunje ndoa ya wazazi mpaka Maza amefariki na bdo dingi hajui kama kuna mtoto co wake, shida ni kwamba saizi baba halali wa mtoto anamtaka mwanae. Dogo ako na 19yrs nw. Mzee hajui lolote maskini.
Dah pole sana mkuu
 
Sahihi jirani, kuna mtu alisema wanawake hawawezi kumlea mtoto wa kiume vizuri, it makes sense now…….. malezi ni pamoja na kuelewa nature ya kiumbe na kufahamu athari za kutokuitimiliza asili hiyo.

Huenda ni kweli wanawake wengi hatufahamu hili la watoto kuona wivu kwa niaba ya wazazi wao. Hata nikiachika nikaolewa na ME mwingine mtoto wangu wa kiume hatopenda ng’o! Wakumbusheni wake zenu hili jambo.

Anyways… Miss u jirani.
 
Hizi thread za kuwacheat waume zenu mkikamatwa mnakuja kulia lia humu mbona nyingi sana siku hizi? Ni kama mko proud na mnachokifanya sio?

Kiukweli pambaneni na hali zenu, binafsi sinaga ushauri kwenye mambo kama haya.
Leo naona ni mwendo wa wanaume kupigwa matukio tuu.
Aisee hizi mbususu za wake zetu kwa kweli ni mwendo wakushare tuu. Hatari!
 
Kumbe ulikuwa bado young, na mapenzi unafahamu...?? πŸ˜ŠπŸ˜πŸ˜ƒ Wewe ni hatari....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…