Mlioko kwenye ndoa naomba ushauri hasa wanawake: Nilifumaniwa na mtoto wangu wa kiume

Ushauri hapa ni kufanya kosa jingine !

Firstborn kaoa!!?kama kaoa mtafutie mchepuko piss kali sana ratibu KILA kitu HALAFU tafuta namna ajue unajua!!

Labda hapo KIDOGO mta share ujinga wenu KWA pamoja!!
 
Umemuathiri mtoto kisaikolojia. Kwanza kaona mapaja ya mama yake, hii inavuruga akili za watoto wa kiume, pili anaweza kuanza kuhisi labda yeye au ndugu zake siyo watoto wa baba yake.

Tatu ataogopa hata wanawake, hatomuamini mkewe kirahisi na atahisi kumbe wanawake ni walewale.

Cha msingi tubu kwa Mwenyezi Mungu, uache dhambi na umuombe akunyooshee mambo yako.
 
Wewe mwanao kishaathirika kisaikolojia hivyo mtafute mwanacycology yeyote mhusishe na hii inshu Kisha mwanao aitwe na huyo mwanacycology nakujaribu kumweka sawa tofauti na hapo unachokitafuta utakipata maana chuki imeathiri ubongo wake tyr
 
Hell NO!!
 
Mkuu una wivu sana
Mimi dogo nlimuona kamuweka Dp mchezaji mmoja wa team ya ligi kuu alafu mbaya zaidi huyo boya namjua ila nadhan hajui kama yule dem ni mdogo angu wa mwisho
Roho iliniuma mbaya mbov nikampigia simu akamtoa mwisho wa mwezi anaomba ada ya chuo almanusra nsimpe sheenz
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…