abdulhamis
JF-Expert Member
- Aug 2, 2019
- 1,436
- 2,296
Watu wanaumizwa Sana na moyo na Mara nyingi maamuzi ya moyo Hua sio sehem ya ubongo ndiomana hata mtu awe Ana akil vip na msimamo mikal moyo ukiamua kumfanya awe mjinga atakua tuMoyo wa mapenzi ni nini?
Mimi sijawahi kuusema huo moyo wala siuelewi, naujua moyo unaosukuma damu.
Labda wewe uanze kunielezea moyo wa mapenzi ni kitu gani, upo wapi, nithibitishie upo. Elezea upo sehemu gani.
Mimi wapi nilikutajia moyo wa mapenzi?
Yani moyo wa mapenzi uutaje wewe, halafu unilazimishe niuelezee mimi?
Na kama upo, na mimi nikashindwa kuuelezea, hilo linathibitishaje Mungu yupo?
Logical non sequitur.
Hujajibu nilichokuuliza na ulichojibu sijakuuliza.Watu wanaumizwa Sana na moyo na Mara nyingi maamuzi ya moyo Hua sio sehem ya ubongo ndiomana hata mtu awe Ana akil vip na msimamo mikal moyo ukiamua kumfanya awe mjinga atakua tu
Wape hi apo lumemo..Nililisubiri sana pia hili tukio usiku wa kuamkia leo ila wingu liliharibu kila kitu (Ifakara, MOROGORO).
Ngoja nimsaidie,Hujathibitisha Mungu yupo.
Rudia kusoma kwa makini ulichoandika.
Halafu.
Thibitisha Mungu yupo.
Kwa hivyo, kuwepo kwa usiku na mchana, na sayari kutogongana, kwa mujibu wako, ni ushahidi na uthibitisho kwamba Mungu yupo?Ngoja nimsaidie,
Mimi nathibitisha hilo..
1..kupitia alama zake na viumbe vyake..
@ Alama zake:-
Kupishana kwa usiku na mchana...hakuna yyte afanyae hivi Ila yeye Muumba wa mbingu na ardhi...
Na akuna ata mzungu mmoja aliethubutu kusema kwamba usiku na mchana ni kutokana na nguvu fulani isipokuwa ni Mungu.
@ Katika viumbe vyake:-
Jua na mwezi (na sayari zote)...embu angalia jua na mwezi zilivyo pangiliwa na sayari zake,tangu ziumbwe hazijawai kukosea njia na kugongana..
NASA walikuja na utabiri wao feki wa kugongana sayari lakini wapi...
Mungu tu mkamilifu hakosei ktk uumbaji wake abadani.
Nathibitisha kwamba Mungu yupo, kwa ushahidi wa kuumba ulimwengi usioonekana kwa macho (malaika n.k) na ulimwengu huu unaoonekana kwa macho(ambao viumbe vyoye tunaishi yaan binadamu wanyama, Mimea ardhini, ndege na viumbe vya baharini. Pia vitu alivyoviumba kwenye anga kama nyota, jua, sayari na vimbondo mbalimbali)Thibitisha Mungu yupo.
Pamoja mkuu... hapo ndo maskani kwako nini....!?Wape hi apo lumemo..
Mkuu hapo ndio unatumaliza🤣Thibitisha Mungu yupo.
Vunga tu man hayo maswali ya yesu na Muhammad usimletee Kiranga utashusha mistari yako ya Bible na sijui kuruani ila utajikuta pointless!Nathibitisha kwamba Mungu yupo, kwa ushahidi wa kuumba ulimwengi usioonekana kwa macho (malaika n.k) na ulimwengu huu unaoonekana kwa macho(ambao viumbe vyoye tunaishi yaan binadamu wanyama, Mimea ardhini, ndege na viumbe vya baharini. Pia vitu alivyoviumba kwenye anga kama nyota, jua, sayari na vimbondo mbalimbali)
Yaah...tuna Kijiji kabsa apoPamoja mkuu... hapo ndo maskani kwako nini....!?
Naam...hizo ni baadhi tu ya alama za uwepo wake.Kwa hivyo, kuwepo kwa usiku na mchana, na sayari kutogongana, kwa mujibu wako, ni ushahidi na uthibitisho kwamba Mungu yupo?
Kwann usimthibitishie kuwa hayupo. Mpe prove kuwa hakuna MUNGU.Hujathibitisha Mungu yupo.
Rudia kusoma kwa makini ulichoandika.
Halafu.
Thibitisha Mungu yupo.
Hiyo ni evidence inayoonekana kwa macho. Ninaongea uhalisia. Then umeniqote vibaya sijaleta maswala ya Yesu wala Muhamad.Vunga tu man hayo maswali ya yesu na Muhammad usimletee Kiranga utashusha mistari yako ya Bible na sijui kuruani ila utajikuta pointless!
Jipange ukitaka mchallenge
Tangu jumamosi zinaonekana kubebana huku nilipo hakukuwa na haja ya kupanda mlima hata jana nimeona. Leo zikiwepo nitajitahidi picha na haka ka tekno kangu hivyo hivyoKwani saivi nimechelewa nikipanda mlimani si naweza kuona ?