Mlioko Tanzania tutupieni jamvini picha za sayari ya Jupiter na Saturn

Daah ukilala na njaa hayo mambo hata huwezi kuyaelewa.
Tumewaza sawa.
Haya mambo ni kwa wenye uhakika na maisha.
Sisi vibanga meno tuendelee kutafuta bao la tatu tu.
 
Tangu jumamosi zinaonekana kubebana huku nilipo hakukuwa na haja ya kupanda mlima hata jana nimeona. Leo zikiwepo nitajitahidi picha na haka ka tekno kangu hivyo hivyo
Kwani wakuu hili tukio ni la siku ngapi?
 
Damnnn !! πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ
 
Samahan naomba kujua...ni mungu gani aliyeumba ni Jehovah Au Allah?
 
Sijui kwa nini usiku sikuona huu uzi usiku? ningetoka nje haya mambo tulisoma kwenye geography yakaishia darasani
 

Usidanganye watu, hizo syari zimekuwa zikionekana kwa muda mrefu tu kila siku jioni, na hata sasa bado zipo kila ifikapo jioni zinaonekana upande wa Magharibi zikiwa zimekaribiana kabisa, ila siku za nyuma zilikuwa zinaonekana zikiwa mbali mbali
 
Usisahau ile ring ni vipande vingi sana vya mawe
 
Thibitisha Mungu kaumba ulimwengu.

Hapo juu umepiga hadithi tu. Hujathibitisha chochote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…