Teknocrat
JF-Expert Member
- Oct 20, 2018
- 4,967
- 11,056
Aisee...Duu! Wali supu! Ndio mara ya kwanza kuisikia hii menu!
Mbona huo ndio msosi wangu pendwa, Wali na Supu ya mapande ya steak ya ngombe...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aisee...Duu! Wali supu! Ndio mara ya kwanza kuisikia hii menu!
Mungu awape rehema na kudra njema wote wanaokumbwa na ukame, Kagera kuna mvua za kutosha sasa hivi, maharage mabichi tayari yameanza kuliwa.... Wilaya za Bukoba, Missenyi Ngara,Karagwe, Kyerwa na Muleba ni mvua za kutosha na mashamba yamenawili sanaUkame huu tango unalipata wapi,yaani kuna mikoa kama morogoro,mbeya na kagera ina nafuu ila kuna mikoa ukame umewatandika wanakula wasife
Machame ni kijijini ila maisha wanayoishi kule wamewazidi watu wengi tu wa mjini.Nilienda Machame sehemu inayoitwa Makoa darajani njia panda ya kwenda Kyalia na Kimbushi hapo wanafyatua matofali ya jamaa aitwaye Willy hapo hapo kuna mgahawa nilikula pilau tamu kinoma nikastaajabu sana ni zaidi ya mjini, kuna baadhi ya vijiji ukifika vyakula ni zaidi mjini.
Kande na sukari? Duh..... ila ubwabwa kwa mtindi hiyo ni balaa.Nilikaa upareni aisee sijawai kuona vyakula vya ajabu kama huko kwanza kande hazina sukari na ni magumu Yale mahindi ambayo yamekomaa wala hawaja koboa ,unatafuna kama karanga Yani Yale maji yaliyopikiwa izo kande bado nice meupe ...
Tunakaa pamepikwa wali eti mboga ni maziwa ya mgando yaani wavivu kupikia hata mchuzi ..siku moja walipika mchzi wa kambare yaani wamechemsha tu kama supu then wanaweka juu ya wali ,ukiangalia kama wali umemwagiwa maji vile.😂😂😂😂
Asubuhi safi maandazi ,uzuri nilienda na sister kama wiki mbili akaanza kupika yeye Yale mambo ya kipwani aisee walikuwa wanaenjoy kinoma, alipika vibibi basi bibi akavigawa kwa watu kibao waonje kesho nikawaona wanakuja pale wanataka sister awafundishe kupika na kule Nazi ilikuwa ni begi ghali sana ilikuwa ni mkomazi.
Wanaume wa dar bana Kwamba Kande inabidi liwe na sukari sio?😄😄 No wonder Dar mahindi ya kuchoma ukiyanunua eti unapewa na chumvi+limao 😄😄Nilikaa upareni aisee sijawai kuona vyakula vya ajabu kama huko kwanza kande hazina sukari na ni magumu Yale mahindi ambayo yamekomaa wala hawaja koboa ,unatafuna kama karanga Yani Yale maji yaliyopikiwa izo kande bado nice meupe ...
Tunakaa pamepikwa wali eti mboga ni maziwa ya mgando yaani wavivu kupikia hata mchuzi ..siku moja walipika mchzi wa kambare yaani wamechemsha tu kama supu then wanaweka juu ya wali ,ukiangalia kama wali umemwagiwa maji vile.😂😂😂😂
Asubuhi safi maandazi ,uzuri nilienda na sister kama wiki mbili akaanza kupika yeye Yale mambo ya kipwani aisee walikuwa wanaenjoy kinoma, alipika vibibi basi bibi akavigawa kwa watu kibao waonje kesho nikawaona wanakuja pale wanataka sister awafundishe kupika na kule Nazi ilikuwa ni begi ghali sana ilikuwa ni mkomazi.
Ha ha ha.mkuu mwenyewe nimecheka..eti kande liwekwe sukariWanaume wa dar bana Kwamba Kande inabidi liwe na sukari sio?😄😄 No wonder Dar mahindi ya kuchoma ukiyanunua eti unapewa na chumvi+limao 😄😄
Wanaume wa mkoani tunasikitika Sana.
😂😂😂Wangeweka hata Nazi aisee na chumviWanaume wa dar bana Kwamba Kande inabidi liwe na sukari sio?😄😄 No wonder Dar mahindi ya kuchoma ukiyanunua eti unapewa na chumvi+limao 😄😄
Wanaume wa mkoani tunasikitika Sana.
😄😄 Mi ndio nimesikia leo mkuu.Ha ha ha.mkuu mwenyewe nimecheka..eti kande liwekwe sukari
Kimbushi kijijini kwa kina R. Mengi huko,aisee huko Kuna maghorofa mengi kuliko yaliyopo kwny baadhi ya miji/manispaa.Nilienda Machame sehemu inayoitwa Makoa darajani njia panda ya kwenda Kyalia na Kimbushi hapo wanafyatua matofali ya jamaa aitwaye Willy hapo hapo kuna mgahawa nilikula pilau tamu kinoma nikastaajabu sana ni zaidi ya mjini, kuna baadhi ya vijiji ukifika vyakula ni zaidi mjini.
Jamaa vijiji vyao Ni Bora Sana,na ndio maana ikifika usiku Moshi mjini Ni kweupe,watu wanapiga kazi Moshi mjini jioni wanarudi kulala zao vijijini kwao huko.Machame ni kijijini ila maisha wanayoishi kule wamewazidi watu wengi tu wa mjini.
Tafuta wagonjwa wa kisukari,presha, figo kama utawakuta huko!!?Ni kudra za mwenyezi Mungu tu kuwa bado mnaishi. Niko kijiji fulani sitataja mkoa. Niko na wenyeji wangu.
Asubuhi uji hauna sukari, mchana tumekula michembe. Usiku udaga na dagaa kama saba hivi kwenye bakuli.
Maisha haya magumu sana kijijini. Tuwaombee
Hakuna chakula cha ajabu hata kimoja hapo,tatizo ni kwamba wewe unataka vyakula vizuri kwa muonekanoNilikaa upareni aisee sijawai kuona vyakula vya ajabu kama huko kwanza kande hazina sukari na ni magumu yale mahindi ambayo yamekomaa wala hawaja koboa, unatafuna kama karanga Yani Yale maji yaliyopikiwa izo kande bado nice meupe.
Tunakaa pamepikwa wali eti mboga ni maziwa ya mgando yaani wavivu kupikia hata mchuzi. Siku moja walipika mchzi wa kambare yaani wamechemsha tu kama supu then wanaweka juu ya wali, ukiangalia kama wali umemwagiwa maji vile.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Asubuhi safi maandazi, uzuri nilienda na sister kama wiki mbili akaanza kupika yeye Yale mambo ya kipwani aisee walikuwa wanaenjoy kinoma, alipika vibibi basi bibi akavigawa kwa watu kibao waonje kesho nikawaona wanakuja pale wanataka sister awafundishe kupika na kule Nazi ilikuwa ni bei ghali sana ilikuwa ni mkomazi.