Anaye jiita tu father of Democracy (USA)....haifuati hiyo Democracy.
Ukweli unao umiza Democracy inachelewesha sana kufikia malengo.....kuna vitu kwenye Democracy ni vya mhimu kama haki za watu kuishi, usalama wao n.k ila sio kila kitu lazima Democracy itumike.
Nchi kubwa tu kama China haziifuati hiyo Democracy kwa sababu wanajua madhara yake ukiindekeza sana.