Gobole
JF-Expert Member
- Dec 29, 2013
- 1,806
- 4,670
Meet me in person ndo utajua kati ya mimi na ww nani ana IQ ndogo.Ila humu kuna watu mna iq ndogo sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Meet me in person ndo utajua kati ya mimi na ww nani ana IQ ndogo.Ila humu kuna watu mna iq ndogo sana
Meet me in person [emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]Meet me in person ndo utajua kati ya mimi na ww nani ana IQ ndogo.
Mbona mataifa mengi tu hayana demokrasia na hayajaendelea??Anaye jiita tu father of Democracy (USA)....haifuati hiyo Democracy.
Ukweli unao umiza Democracy inachelewesha sana kufikia malengo.....kuna vitu kwenye Democracy ni vya mhimu kama haki za watu kuishi, usalama wao n.k ila sio kila kitu lazima Democracy itumike.
Nchi kubwa tu kama China haziifuati hiyo Democracy kwa sababu wanajua madhara yake ukiindekeza sana.